• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Usafi wa Barabara Kuu ni Sehemu ya Kuunga Mkono Jitihada za Rais Samia Royol Tour kuvutia Watalii na Wawekezaji

Posted on: August 30th, 2022

 

- Aeleza Mkakati wa kujenga fountains, Garden za kupumzika na kuwaonya wezi wa vyuma na minyororo.

- Awashukuru Kampuni ya TCC Sigara kwa kutoa Shehena ya Vifaa vya Usafi.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo ameshirikiana na Maelfu ya Wakazi wa Jiji Hilo kwenye zoezi la Usafi wa pamoja kwenye Barabara kuu za Mkoa huo ambapo kila Mkuu wa Wilaya ameongoza Usafi kwenye eneo lake.

Katika zoezi Hilo RC Makalla pia amepokea msaada wa Vifaa mbalimbali vya Usafi kutoka Kampuni TCC Sigara iliyounga mkono Kampeni ya SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM kwa kutoa Toroli 50, Pipa 470 za kuhifadhi taka, Reki 50 na Fagio 50 ambapo wameahidi kuendelea kutoa Vifaa kila Baada ya miezi miwili.

Akizungumza na Wananchi na Wadau waliojitokeza kushiriki usafi,RC Makalla amesema katika awamu pili ya Kampeni ya Usafi Mkoa umejipanga kuboresha na kupendezesha mandhari ya Barabara kuu kwa kuhakikisha upandaji miti, uwekaji bustani za watu kupumzika, mifumo ya umwagiliaji na utengenezaji wa Fountains.

Aidha RC Makalla amesema Mkoa pia umeweka mkakati endelevu wa kudhibiti Wizi wa vyuma na minyororo kwa kufunga Camera Barabarani ili kubainii Wezi.

Pamoja na hayo RC Makalla ameelekeza Halmashauri kushirikiana na Shirikisho la bodaboda kwenye Ujenzi wa Vituo vya kisasa vya Bodaboda ambavyo vimesajiliwa na kuratibiwa vizuri ambapo licha ya kupendezesha mandhari pia itasaidia kudhibiti uhalifu.

Hata hivyo RC Makalla amepongeza na kuishukuru Kampuni ya TCC Sigara kwa kushirikiana na Mkoa bega kwa bega kwenye Kampeni ya SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa bodi wa Kampuni ya TCC Sigara Ndg.Paul Makanza amesema kampuni hiyo itaendelea kushirikiana na Mkuu wa Mkoa kuhakikisha Dar es salaam inakuwa safi

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa