• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Mradi wa Ujenzi Mwendokasi Mbagala-Mjini Umefikia asilimia 82

Posted on: January 18th, 2023

 

- Ampongeza *Rais Dkt. Samia kufanikisha mradi kutoka asilimia 12 aliyoikuta mpaka Sasa mradi umefikia asilimia 82.

- Ataka mradi kukamilika na kukabidhiwa Mwishoni mwa mwezi machi mwaka huu.

- Aelekeza Wanaofanya biashara kwenye eneo lililokatazwa Mbagala kuondolewa.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemuelekeza Mkandarasi wa kampuni ya Sino Hydro anaejenga Barabara ya mwendokasi BRT kutoka katikati ya mji kuelekea

Mbagala kuhakikisha ifikapo mwishoni mwa mwezi machi Mwaka huu mradi uwe umekamilika.

RC Makalla ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa Barabara za BRT unaohusisha ujenzi wa Barabara ya Km 20.3, Madaraja ya Juu na Vituo 21 vya kushusha na kupakia abiria.

Aidha RC Makalla amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuendeleza mradi huo kutoka asilimia 12 mpaka Sasa ambapo Mradi umefikia asilimia 82 na kumpongeza Mkandarasi kwa jitiada kubwa anazoonyesha.

Pamoja na hayo RC Makalla amewaelekeza TANROAD, TRC, TANESCO na DAWASA kuweka utaratibu mzuri wa kufanya kazi kwa kushirikiana ikiwa ni pamoja na kuondoa Miundombinu Yao kwa wakati Ili Kumuwezesha Mkandarasi kufanya kazi yake.

Katika hatua nyingine RC Makalla amemuelekeza Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Katibu tawala na Mkurugenzi kuhakikisha Wafanyabiashara wanaofanya Biashara kwenye maeneo yaliyokatazwa ikiwemo Mbagala Rangitatu kuwaondoa na kuwapeleka kwenye maeneo  walipopangiwa

Matangazo

  • FOMU YA KUHUISHA MAJUKWAA YA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI DSM November 09, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Ratiba ya Mtihani wa Kumaliza Kidato cha Sita (ACSEE) - 2020 June 12, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Makalla, UNESCO, WHO,FAO,UNDP Wafanya Usafi Fukwe za Cocobeach

    February 08, 2023
  • RC Makalla Awaaga Viongozi wa Machinga na Bodaboda Wakielekea Rwanda

    February 06, 2023
  • RC Makalla Azindua Kituo cha Mawasiliano Taasisi ya Saratani Ocean Road

    February 04, 2023
  • RC Makalla, NMB Wakabidhi Ticket kwa Viongozi wa Machinga na Bodaboda

    February 03, 2023
  • Tazama zote

Video

RC Makalla akagua ujenzi wa Kipande cha SGR- kuingia Bandarini DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa