• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla: Mkakati wa Mkoa wa Dar es Salaam ni Kuongeza Mapato Bajeti 2022/23

Posted on: March 8th, 2022

- Bajeti ya mkoa ni Bilioni 650 Na fedha Za maendeleo ni Bilioni 190.

- Ampongeza Rais Samia Suluhu kwa kutoa fedha kwa wakati katika miradi ya maendeleo.

- Awataka viongozi Na watendaji kusimamia mapato Na kudhibiti matumizi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo ameongoza kikao Cha Kamati ya ushauri ya Mkoa RCC kuhusu mapendekezo ya bajeti ya Mkoa huo kwa Mwaka wa fedha 2022-2023 ambapo Mkoa huo umeomba kupatiwa kiasi Cha Shilingi bilioni 650.97 kwaajili ya utekelezaji wa Shughuli mbalimbali ikiwa ni ongezeko la Shilingi Bilioni 88.7 kwa Mwaka 2021/2022.

Akizungumza wakati wa kikao hicho, RC Makalla amesema kiasi hicho kinajumuisha Mishaha Shilingi Bilioni 338.2, Miradi ya maendeleo Shilingi Bilioni 77.7 na Matumizi mengine kiasi Cha Shilingi bilioni 10.8 ambapo upande wa makusanyo Mkoa umelenga kukusanya Shilingi Bilioni 224.

Aidha RC Makalla amesema miongoni mwa vipaombele vitakavyozingatiwa ni pamoja na kudumisha amani, ulinzi na usalama,  Ujenzi wa jengo la ofisi ya Mkuu wa Mkoa, kuboresha Elimu, Afya, Mazingira Bora ya Biashara, miradi ya kimkakati, ustawi wa jamii, kudhibiti na Kupunguza Majanga.

Ili kuhakikisha Serikali inaendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, RC Makalla ametoa wito kwa Halmashauri kuhakikisha zinasimamia kikamilifu makusanyo ya mapato na kubuni vyanzo vipya vya mapato.

Kikao hicho pia kwa kauli moja kimeazimia kumpongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo jijini humo pamoja na kutoa fedha kwa wakati jambo linalosababisha miradi kutekelezeka kwa wakati pasipo usumbufu wowote

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa