• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Elimu
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Biashara
    • Utalii
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Mgogoro wa Ardhi Mbondole Chanika Busara Zinahitajika

Posted on: May 6th, 2022

 - Hukumu ya mahakama inawataka Wakazi 700 kuvunjiwa nyumba zao kumpisha Ndugu. Martin Nasso.

- Wavamizi waomba Suluhu kwa mmiliki walipe fidia.
- RC Makalla ahairisha kikao Na sasa mazungumzo kufanyika site Chanika siku ya jumatatu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla Jumatatu ya May 09 anatarajia kufika eneo la Mbondole Kata ya Chanika kwaajili ya kutafuta maridhiano na Suluhu ya Kumaliza Mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 10 ukihusisha Wakazi 700 waliovamia na kujenga zaidi ya Nyumba 200 kwenye eneo la Mwananchi aliefahamika kwa majina ya Martin Nasson aliekuwa ametenga kwaajili ya Ujenzi wa Shule.
Mapema Leo RC Makalla amefanya kikao Cha pamoja baina yake na Walalamikaji, Walalamikiwa, Kamati ya Ulinzi na usalama, Wataalamu wa Ardhi kwa lengo la kuangalia Busara inayoweza kutumika kumaliza Mgogoro huo kwa amani na usalama licha ya Mahakama kutoa hukumu ya haki kwa mmiliki halali wa eneo na kuamuru wavamizi waondolewe.
Kutokana na Mgogoro huo kuhisisha familia nyingi, RC Makalla ameona ni vyema kabla ya kutekelezwa kwa hukumu ya Mahakama kukaangaliwa Njia ya Busara ya Kumaliza Mgogoroiki iwemo Wavamizi kumlipa fidia Mmiliki halali ili waweze kusalia kwenye eneo endapo mmiliki atakubali ombi Hilo.
RC Makalla amesema katika kikao Cha Leo Baada ya kusikiliza pande zote mbili amebaini dosari mbalimbali ikiwemo mmiliki halali kutishwa na wavamizi na kutopewa haki kufika kwenye eneo lake na kutopatikana kwa takwimu kamili ya idadi ya wavamizi.
Jambo hilo limemlazimu RC Makalla kutenga siku ya Jumatatu saa nne asubuhi kufika eneo la tukio ambapo ameelekeza kila mvamizi kusimama kwenye eneo analodai ameuziwa Akiwa na Nyaraka zote za mauzio ili kupata tarifa sahihi.
Pamoja na hayo RC Makalla amewatahadharisha Wananchi kuacha tabia ya kuvamia na kujenga kwenye maeneo ya watu na kuzielekeza Taasisi na watu binafsi kuyalinda na kuyaendeleza Maeneo

Matangazo

  • RATIBA YA KAZI YA MHE. RC MAKALLA KUANZIA 20 - 26 APRIL,2022 April 20, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Utamilifu (Mock) Mkoa wa Darasa la Saba - 2021 July 30, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA BEI ELEKEZI YA MBOLEA March 30, 2022
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Dar es Salaam Yaadhimisha Siku ya Wauguzi Duniani

    May 24, 2022
  • DC Ilala Ataka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kuchukua Hatua kwa Wanaokaidi Maelekezo Wanayoyatoa

    May 19, 2022
  • "Dar es Salaam Mmefanya Vizuri Oparesheni ya Anwani za Makazi na Postikodi" Waziri Nape

    May 18, 2022
  • RC Makalla Apokea Kero zaJumuiya ya Wafanyabiashara Dar es Salaam.

    May 16, 2022
  • Tazama zote

Video

Maelekezo ya RC Makalla juu ya Mapambano dhidi ya majanga ya moto katika masoko DSM.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa