• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Machinga Bodaboda Kwenda Afrika Kusini

Posted on: February 11th, 2023

- Amefurahishwa na matokeo ya ziara ya Rwanda

-Asema miji ya Cape Town na Johanesburg Afrika ya  kusini ni miji katika tano bora kwa usafi Afrika

- Awataka Viongozi wa Machinga na Bodaboda kuitisha makongamano kushirikisha elimu waliyoipata kwa wanachama wao

-Asema Rais Dkt Samia amedhamiria kuyalea makundi haya kufanya Kazi vizuri

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam CPA Amos Makalla ametoa tamko rasmi kwa Viongozi wa machinga na bodaboda kwenda ziara ya mafunzo Afrika ya kusini, ameyasema hayo leo Februari 11,2023 katika Ukumbi wa DMDP Ilala wakati akipokea taarifa kwa Viongozi hao baada ya kurejea kutoka ziara ya mafunzo nchini Rwanda

CPA Makalla amesema amefurahishwa na matokeo ya ziara ya mafunzo waliyoifanya nchini Rwanda kufuatia taarifa waliyoiwasilisha kwake.

Aidha CPA Makalla amefafanua kuwa miji ya Cape Town na Johanesburg Afrika ya kusini ni miji katika tano bora kwa usafi Afrika hivyo ziara ya mafunzo nchini humo itapelekea kuleta mapinduzi makubwa zaidi ya Kampeni ya Usafi Jijini Dar es Salaam

CPA Makalla amewataka Viongozi wa Machinga na Bodaboda kuitisha makongamano kushirikisha elimu waliyoipata nchini Rwanda kwa wanachama wao ili kuwa na uelewa wa pamoja ambao utalifanya Jiji la DSM kusonga mbele katika mikakati yake.

Hata hivyo CPA Amos Makalla amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuyalea makundi haya kufanya Kazi vizuri anachokifanya yeye katika Mkoa ni utekelezaji kwa vitendo maelekezo na maono ya Mhe Rais

CPA Makalla amewahakikishia Viongozi wa Machinga na Bodaboda kuendelea kuwapatia ziara za mafunzo kwa kadri inavyo wezekana kwa kuwa kuelimishana ni njia pekee na bora ya kuleta mabadiliko chanya

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa