• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC: Makalla Dar es Salaam Kuwa Safi

Posted on: September 20th, 2021

Mkuu wa Mkoa  wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla akiongea na wananchi wa Jimbo la Kinondoni katika viwanja vya Tandale Shule.


# Ataja Tandale ndipo atakapozindulia Kampeni ya Usafi

# Asema Billioni 150 zimetengwa kwa ajili ya Ujenzi wa Daraja na Mto Msimbazi

# Aunda Kamati Maalum ya Mazingira ya kuzuia Uharibifu wa Mazingira

# Asisitiza Ulinzi na Usalama

#  Ampa OCD na Timu yake Wiki moja Kushughulikia KERO ya Uwanja wa Fisi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla leo tarehe 20 Septemba, 2021 ameendelea na ziara yake ya kupita Jimbo hadi Jimbo ambapo leo alikuwa Katika Jimbo la Kinondoni

Akiwa Kinondoni Mhe. Mkuu wa Mkoa amesema Dar es Salaam  inapaswa kuwa Safi katika kwani ameanza na Kuwapanga vema Wamachinga sasa anaenda Kuzindua Kampeni ya Usafi ambayo ataizindua katika Kata ya Tandale. "Wale wote walioanzisha magereji bubu yanayoweka magari barabarani waache Mara Moja". Alisisitiza RC Makalla

Wakati huo huo RC Makalla amesema kuwa Serikali imetenga kiasi cha Billioni 150 ili kujenga Mto Msimbazi ambapo Mto huo unaenda kukabiliwa mwanzoni aidha Mto Ng' ombe tayari mkandarasi yuko "site" na Kazi inaendelea

Kuhusu Kuunda Kamati Maalum ya Mazingira Mhe. Mkuu wa Mkoa amesema kuwa ameamua kufanya hivyo ili kuzuia waharibifu wa Mazingira na wachimbaji wa michanga ovyo katika Mito

Hata hivyo Mhe. Makalla amewataka wananchi wote kuendelea kudumisha Ulinzi na Usalama kwa maendeleo ya Taifa letu sambamba na kuwafichua wahalifu wote

Wakati huo huo Mhe. Mkuu wa Mkoa amempa muda wa Wiki moja OCD na Timu yake Kushughulikia KERO  sugu ya Uwanja wa Fisi ili wananchi wakae kwa Amani na Utulivu

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa