• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Azindua Kituo cha Mawasiliano Taasisi ya Saratani Ocean Road

Posted on: February 4th, 2023

-Amshukuru Rais Dkt Samia kwa kuendelea kuboresha huduma za afya katika Taasisi ya Ocean Road

-Apongeza Benki ya CRDB kwa kuwezesha kituo cha Mawasiliano cha huduma kwa wateja

- Atoa wito kwa wananchi kufanya mazoezi, kupima Afya na kuzingatia Lishe bora

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam CPA Amos Makalla leo Februari 4, 2023 amezindua kituo cha Mawasiliano cha huduma kwa wateja katika Taasisi ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam ambacho kimefadhiliwa na Benki ya CRDB

CPA Makalla kabla ya Uzinduzi huo ameshiriki matembezi ya takribani KM 3.5, kuhamasisha jamii kufanya mazoezi lakini pia kuungana na Wananchi wote Duniani kuadhimisha Siku ya Saratani

Aidha CPA Makalla amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada yake kubwa katika kuboresha huduma za Afya nchini hususani Mkoa wa Dar es Salaam ambapo Taasisi ya Ocean Road ameendelea kuiwezesha fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu, vifaa tiba pamoja na matibabu bure kwa wagonjwa wa Saratani

Vilevile CPA Makalla ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuwezesha Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Kituo cha kisasa cha Mawasiliano cha kutoa huduma kwa wateja ambapo sasa mteja anaweza kupata elimu ya Afya au Ushauri kwa kupiga simu popote alipo masaa 24 pia CPA Makalla amepongeza CRDB BANK MARATHON kwa kutekeleza maksudio yake ya kukusanya fedha ambazo zimesaidia kuboresha huduma za Afya katika Taasisi ya Ocean Road

Hata hivyo CPA Amos Makalla ametoa wito kwa wananchi kujenga tabia ya kupima Afya, kufanya mazoezi na kuzingatia Lishe bora ili kuepuka magonjwa yasiyo ambukiza

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa