• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Azindua Huduma ya NMB Mwalimu Spesho

Posted on: July 26th, 2022

 - Awapongeza *NMB kwa ubunifu wa huduma Zinazogusa watu wa Makundi mbalimbali.

- Awahimiza Walimu kuanzisha miradi ya kujikwamua kiuchumi.
- Asisitiza Matumizi sahihi ya mishahara/ kipato.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amezindua huduma ya NMB Mwalimu Spesho inayolenga kutoa huduma mbalimbali kwa walimu ikiwemo mikopo ya kilimo, Biashara, uwekezaji, bima na mikopo ya Elimu.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa Bank hiyo kuadhimisha siku ya Mwalimu kila mwaka, RC Makalla amepongeza Bank ya NMB kwa kubuni huduma mbalimbali Zinazogusa watu wa Makundi yote wakiwemo Watumishi, Wajasiriamali, Wafanyabiashara na Wawekezaji.
Aidha RC Makalla ametoa wito kwa Walimu kufanya maandalizi Bora ya kustaafu mapema kwa kuchangamkia Fursa ya mkopo kuanzisha miradi ya kujikimu kwa mustakabali ya maisha ya Sasa na badae.
Pamoja na hayo RC Makalla ametumia uzinduzi huo kuwahimiza Wananchi na Watumishi kuhakikisha kiasi Cha fedha wanachopata wanatumia na kiasi kingine wanatunza kwaajili ya maendeleo
Maadhimisho ya siku ya Mwalimu ya NMB kwa Mwaka 2022 yameenda sambamba na kaulimbiu isemayo Umetufunza Tunakutunza yakilenga kuthamini kazi kubwa na nzuri wanayoifanya Walimu kwenye Jamii.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa