• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Awashukuru Tosh Cargo kwa Kuunga Mkono Kampeni ya Usafi DSM

Posted on: July 21st, 2022

 

RC Makalla Akiongea wakati akipokea Msaada wa Vifaa vya Usafi katika viwanja vya DMDP Mnazi Mmoja

- Atoa Wito kwa Wadau kuchangia Vifaa vya Usafi.

- Awahimiza Wananchi kujitokeza Jumamos ya Julai 30 kwenye Usafi wa Barabara kuu za Mkoa.

- TOSH CARGO waahidi kumuunga mkono kwenye Kampeni ya SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makalla leo amepokea Vifaa vya Usafi kutoka Kampuni ya usafirishaji ya TOSH ambayo imejitolea kuunga mkono Serikali katika Kampeni ya SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM.

Akipokea Vifaa hiyo RC Makalla ameishukuru TOSH CARGO kwa kuguswa kutoa msaada huo na kutoa wito kwa Wananchi na Wadau mbalimbali kujitokeza kwa wingi kutoa msaada wa Vifaa vya ili kulifanya Jiji kuwa safi na la kuvutia.

Aidha RC Makalla ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kwa wingi Julai 30 kwenye Usafi wa Barabara kuu za Mkoa huo huku akibainisha Mpango wa kutenga baadhi ya maeneo kwaajili ya Ujenzi wa (Fountains) ikiwemo sehemu za (round about).

Pamoja na hayo RC Makalla amesema kwa *mwenendo na mwamko mzuri ulioonyeshwa na Wananchi ni wazi kuwa Dar es salaam itakwenda kutoka nafasi ya sita kwa Usafi Barani Africa na kushika nafasi za juu zaidi.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya TOSH CARGO Mohamed Nassor amesema kampuni hiyo itaendelea kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa Mkoa katika jitiada za RC Makalla za kuifanya Dar es salaam kuwa safi.


Vifaa vya Usafi vilivyotolewa na TOSH CARGO

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa