• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Atangaza Ziara ya Kiserikali ya Mhe Rais Samia DSM

Posted on: March 21st, 2022


-Asema itakuwa ya Siku tatu na Mhe. Rais atazindua Miradi mbalimbali*

-Ampongeza Mhe. Rais ndani ya Mwaka mmoja  kuidhinisha kiasi kikubwa Cha pesa  kutekeleza Miradi mikubwa ya maendeleo*

-Atoa RAI kwa wananchi wa Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi

- Mtendaji Mkuu wa TBA akiri kukamilika kwa nyumba hizo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla leo tarehe 21 Marchi 2022 ametangaza ziara ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Dar es Salaam

Mhe. Makalla amesema kuwa ziara ya Mhe. Rais Samia itakuwa ya Siku tatu katika Mkoa wa Dar es Salaam na atazindua Miradi mbalimbali ikiwemo Kushiriki katika Kilele Cha Wiki ya Maji - Mlimani City tarehe 22 Marchi 2022,  atazindua Mradi wa Nyumba za Magomeni Kota tarehe 23 Marchi 2022* na kuzindua  Daraja la Tanzanite ( Salender Bridge) tarehe 24 Marchi 2022

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa amepongeza Mhe. Rais Samia kwa kufikisha Mwaka mmoja madarakani huku akiwa ameidhinisha kiasi kikubwa Cha Fedha kutumika katika Miradi mbalimbali ya kimaendeleo ambayo Taifa linajivunia kwa sasa

Mhe. Makalla ametoa RAI kwa wananchi wa Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kumuunga Mkono Rais wetu katika maeneo ya Miradi yote atakayozindua

Naye Mtendaji Mkuu wa TBA Arch. Daudi Kondoro amekiri kukamilika kwa Mradi wa nyumba za Magomeni Kota utakaokuwa na nyumba za Makazi 644 na vizimba 186 kwa Wamachinga viitwavyo"Machinga Centre"

#JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA -  KAZI IENDELEE#

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa