• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Ataka Viongozi na Watendaji DSM Kutekeleza Maelekezo 11 Mahususi

Posted on: October 7th, 2021

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla leo tarehe 07 Oktoba, 2021 amefanya Kikao Kazi na Viongozi na Watendaji katika Ukumbi wa Iddi Nyundo uliopo Wilayani Temeke ambapo ametaka Maelekezo Mahususi  11  kutekelezwa na Viongozi na Watendaji ili kuujenga vema Mkoa wa Dar es Salaam

Maelekezo hayo Mahususi ni pamoja na:-

✓ Upangwaji mzuri na Shirikishi wa  Wamachinga ambapo Wamachinga hao kwa kushirikiana na Viongozi wa Wilaya zote wameendelea kuyatambua maeneo yao aidha, Wakurugenzi wametakiwa kupeleka huduma zote za Kijamii sambamba na LATRA, Jeshi la POLISI kufikisha Magari katika maeneo hayo

✓Maafisa Maendeleo ya Jamii kuandaa Kongamano kubwa katika Ukumbi wa PTA kuhusu Jukwaa la Kuwawezesha Wanawake kiuchumi katika Mkoa wa Dar es Salaam ambapo wanatakiwa kuandaa *ndani ya wiki ya Pili ya mwezi wa 11

✓Kuhakikisha  Asilimia 60 ya Mapato ipelekwe kwenye Miradi ya Maendeleo kwani toka Mhe. Rais Samia aingie madarakani hakuna Mradi uliosimama yote inaendelea hivyo ni muhimu kuzingatia hilo

✓Changamoto katika maeneo ya pembezoni zitatuliwe ambapo Tanesco wapeleke Umeme Dawasa- Maji ,Tanroads na Tarura kuwajengea wananchi Barabara

✓Ukaguzi Miradi ya Maendeleo Mhe. Mkuu wa Mkoa amewataka kuwa wepesi, makini katika kukagua miradi ya maendeleo ambapo aliunda kamati Maalum ya kudumu ya kufuatilia miradi ya Dar es Salaam

✓Kusikiliza na kutatua KERO za Wananchi ambapo amewataka Wakuu wa Wilaya pamoja na Wakuu wa Idara kwenda Kata kwa Kata kusikiliza na kutatua KERO za wananchi na kila mwisho wa mwezi kuandika taarifa

✓Waganga Wakuu wa Wilaya kuhakikisha Hospitali zote zinakuwa na Dirisha la Wazee, uwepo wa Dawa zote muhimu na Wazee wapokelewe na kuhudumiwa vizuri

✓Uhifadhi wa Mito na Mazingira Mhe. Makalla amepinga zoezi la uchimbaji wa michanga na kusisitiza usafi,Usalama wa mito ambapo Muongozo wa kutunza Mazingira ameshausaini na kuutuma

✓Chanjo ya Uviko 19 ambapo Dar es Salaam imefanya vizuri katika hili na kuwataka ambao bado hawajachanjwa wakachanjwe

✓Ulinzi na Usalama ambapo amesema Dar es Salaam ni salama na kutaka kuendelea kudumisha Amani na Utulivu na Kama kuna mhalifu afichuliwe

✓Uendelezaji wa Fukwe ambapo Kuna Fukwe nzuri zinazotakiwa kusafishwa na kuboreshwa hivyo Maafisa Mazingira wote wanatakiwa kwenda COCO BEACH kujifunza

"Viongozi na Watendaji tekelezeni wajibu wenu katika kuwahudumia wananchi, tusikae maofisini, tuwafuate wananchi walipo na kuwahudumia" Alisisitiza RC Makalla

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa