• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Ataka Kiwanda cha Chibuku Kufufuliwa

Posted on: February 13th, 2023

 

- Atinga Kiwandani na kuitisha Kikao cha Wabia wa DAR BREW (CHIBUKU) ambao ni Jiji, Manispaa ya Kinondoni, na Manispaa ya Temeke

- Asema dhana ya Serikali kufanya biashara katika uchumi wa Soko imepitwa na wakati Ubia ndiyo njia nzuri

-Wawekezaji wameanza kujitokeza kutaka kuwekeza

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam CPA Amos Makalla leo Februari 13, 2023 ametembelea na kukagua kiwanda cha DAR BREW cha kutengeneza pombe maarufu kwa jina la Chibuku kilichoko Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam.

CPA Makalla akiwa katika kiwanda hicho amepata wasaa wakujionea mitambo na samani mbalimbali zinazo milikiwa na kiwanda hicho ambacho uzalishaji wake umesimama toka mwaka 2018

Aidha CPA Makalla baada ya kukagua mazingira ya kiwanda hicho amesema kiwanda hicho lazima kifufuliwe ambapo  ameitisha kikao cha Wabia wa DAR BREW (Chibuku) ambao ni Jiji, Manispaa ya Kinondoni na Manispaa yaTemeke kesho Februari 14, 2023 kukutana kujadili mstakabali wa kufufua kiwanda hicho kwa masilahi mapana ya Umma.

Sambamba na hilo CPA Makalla amesema dhana ya Serikali kufanya biashara katika uchumi wa Soko imepitwa na wakati bali UBIA ndiyo njia nzuri hivyo kila mmoja wetu lazima abadilike ili kuwezesha kukuza ajira na Serikali kujipatia mapato yake.

CPA Makalla amewahakikishia tayari Wawekezaji wameanza kujitokeza kutaka kuwekeza ni wajibu wetu kutokurudi nyuma lazima twende sambamba na maono ya Rais Dkt Samia Suluhu katika kuandaa mazingira rafiki ya uwekezaji

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa