• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Ashiriki Kikao Kazi cha Waziri Mkuu kwa njia ya Mtandao (Video conference)

Posted on: March 14th, 2022

RC Makalla wa katikati kiti cha mbele pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama wakifuatilia maelekezo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kasim Majaliwa kwa njia ya Mtandao "Video Conference"


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla, leo Machi 14,2022 ameshiriki kikao Kazi cha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kasimu Majaliwa kwa njia ya Mtandao "Video Conference" kilichofanyika katika ukumbi wa TTCL Samora Ilala Jijini Dar es Salaam.

Kikao kazi hicho kimelenga kupokea maelekezo kutoka kwa waziri Mkuu na kukumbushana majukumu ya kila siku yanayosimamiwa na wakuu wa Mikoa Tanzania Bara. Miongoni mwa maelekezo ya Waziri Mkuu kwa wakuu wa Mikoa ni, Kusimamia vizuri ukusanyaji na matumizi ya mapato, Ulinzi na Usalama wa watu na mali zao, Hali ya Uchumi, kama vile udhibiti wa mfumko wa bei za bidhaa, Usimamizi wa miradi ya maendeleo kama vile Elimu, Barabara, Maji, Nishati ya Umeme .

Hata hivyo amewataka kuhakikisha Umma unahabarishwa kila kitu kinchotekelezwa katika Mkoa pia kusimamia eneo la machinga kwa kuwapanga vizuri,pasipo kutumia nguvu huku akipongeza Mkoa wa Dar es Salaam kwa kufanya vizuri katika kuwapanga vizuri wamachinga vilevile kuhakikisha zoezi la Anwani za makazi linafanyika kwa weledi na kuhakikisha ifikapo may, 31,2022 liwe limekamilika.

Aidha Washiriki wengine walioambatana na Mkuu wa Mkoa ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndg Hassan Rugwa, Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Ally Happi , Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa pamoja na viongozi wa Chama cha Mapinduzi

 

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa