• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Apokea Mpango kazi wa Utekelezaji wa Zoezi la Anwani za Makazi DSM

Posted on: February 15th, 2022

- Apongeza na kusema Dsm inakwenda kuongoza katika Anwani za Makazi

-Afafanua Umuhimu wa Anwani za Makazi

-Amshukuru Rais Samia kwa kutoa Bilioni 28 kufanikisha Hilo na kuwataka Wakurugenzi kumaliza kazi hiyo kwa Fedha za ndani inapobidi

-Asema kikao cha Kuwajengea uelewa wananchi kufanyika tarehe 16-02-2022

-Kwa upande wa Kamisaa wa Sensa Mhe. Anna Makinda apongeza DSM na Kuomba Ushirikiano

-Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Habari Bi. Caroline Kanuti asema Wizara itaendelea kutoa Ushirikiano

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla leo tarehe 15 Februari 2022 amepokea taarifa ya Mpangokazi wa  Utekelezaji wa zoezi la Anwani za Makazi  katika Ukumbi wa Anatouglo Jijini Dar es Salaam linalotarajia kufanyika hivi karibuni

RC Makalla apongeza Taarifa hizo alizozipokea kutoka kwa Wakurugenzi wote na kusema Dar es Salaam haijawahi kushindwa Jambo lolote hivyo hata katika hili la Anuani za Makazi inakwenda kuwa Kinara kwani sababu zote za kuongoza tunazo kwani huu ndio Uso na njia kubwa na Mji wa Mfano

Mkuu wa Mkoa amefafanua kuwa Anuani za Makazi ni muhimu kwani itasaidia Sana katika utatuzi wa migogoro ya Ardhi, Kuimalisha Usalama, Kujua idadi ya makazi na Urahisi wa Kufikika

Hata hivyo Mhe. Makalla amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania *Samia Suluhu Hassan* kwa kutoa kiasi Cha Shilingi Bilioni 28 kufanikisha suala la Anwani za Makazi na kuwataka Wakurugenzi wote kumaliza kazi hiyo kwa Fedha za ndani inapobidi

Wakati huo huo Mkuu wa Mkoa amesema kuwa kesho tarehe 16 Februari 2022 atakuwa na Mkutano Mkubwa katika Ukumbi wa Mwl. Nyerere Posta wa Kuwajengea Uelewa Wananchi juu ya Anwani za Makazi

Kwa upande wa Kamisaa wa Sensa Mhe. Anna Makinda amepongeza juhudi za Mkoa wa Dar es Salaam na kusema Anwani za Makazi zina Uhusiano na Sensa ya Majengo na Makazi hivyo Kuomba Ushirikiano

Naye Bi. Caroline Kanuti Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya Habari Amesema Wizara ya Habari imefanikiwa kutoa Elimu na Uelewa katika Halmashauri zote nchini hivyo Wizara itaendelea kutoa Ushirikiano katika kufanikisha Jambo hili

Ikumbukwe kuwa zoezi hili la Anwani za Makazi linatakiwa kukamilika Kitaifa Mwezi wa Tano ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amelitaka kukamilika kwa Mkoa wake Mwezi wa Nne

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa