• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Ampongeza Rais Samia Kuidhinisha Fedha Bilioni 26 Kariakoo na Ujenzi Unaendelea

Posted on: February 26th, 2022

-Rais samia ameelekeza Kujengawa Soko la Jangwani ambalo litakuwa la Wamachinga na Stendi ya Mabasi kuwepo

-Aidhaa, Rais Samia ataka masoko ya Wamachinga kujengwa kila Wilaya

- Awataka waliokosa maeneo kujitokeza na kupangiwa Mara moja

-Ataka waliopanga barabarani Mtaa wa Kongo kuondoka Mara moja

-DC Ilala kwa kushirikiana na RPC na OCD waahidi kuyalinda maeneo yote

-Balozi wa Usafi Dsm Harmonize Aomba wamachinga kushirikiana Na serikali

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla leo tarehe 27 Februari 2022 ameendelea na Kampeni yake ya SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM inayofanyika kila mwisho wa Mwezi ambapo leo alikuwa katika Wilaya ya Ilala - Mtaa wa Msimbazi na Tabata Bima Mpakani

*Mhe. Makalla* amewaeleza wananchi wa Ilala kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania *Mhe.Samia Suluhu Hassan* tayari ameshaidhinisha kiasi Cha Shilingi *Bilioni 26* ili Kujenga soko la Kariakoo na Ujenzi unaendelea aidha tayari ameelekeza Kiasi Cha *Bilioni 6 kutumika katika Kujenga Soko la  *Jangwani* ambalo litakuwa la Wamachinga na litakuwa na Stendi aidha Wamachinga wameshirikishwa katika michoro

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa ameongeza kuwa Rais wetu mpendwa hakuishia hapo ametaka kila Wilaya ya Dar es Salaam kujengwa Masoko ya Wamachinga ili kupunguza adha ya kila mtu kuja mjini

Wakati huo huo RC Makalla amewataka waliokosa maeneo kujitokeza na kupangiwa kwani maeneo bado yapo na watakapopangwa wakae katika maeneo yao waliyopangiwa

Vile vile Mkuu wa Mkoa amewata wote waliopanga barabarani Mtaa wa Kongo kuondoka Mara moja kwani Sheria Kali dhizi Yao zitachukuliwa kwa watakaokaidi

Kwa upande wake DC wa Ilala Mhe. Ludigija amesema yeye kwa kushirikiana na RPC na OCD wameahidi kuyalinda maeneo yote yaliyoachwa na Wamachinga kwa masaa yote

Naye Balozi wa Usafi Dsm Harmonize ameomba Wamachinga kushirikiana na Serikali kwani Viongozi wa Serikali wanaposema wamachinga wasipange bidhaa barabarani basi watii na kutekeleza kwa manufaa yao

Kampeni hiyo ya SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM imehudhuliwa na DC ILala, Meya, Madiwani, NMB, Wakuu wa Idara- Ilala, Viongozi wa Wamachinga, Balozi wa Usafi, Wafanyabiashara, Jogging Clubs, na Bodaboda

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa