• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Akasirishwa na Kusuasua Ujenzi wa Vituo vya Afya Segerea na Kipunguni B - Ilala

Posted on: April 12th, 2022

 

- Akuta Ujenzi ukiwa katika hatua za chini tofauti na Wilaya zingine ambapo Wapo hatua za mwisho

-Ashangazwa na majibu ya kuchelewa Vifaa, Ahoji kwani Wilaya zingine wameyatoa wapi?

- Awataka Madiwani kuwasimamia wananchi wake kupata vituo vya Afya

-Aagiza kufanya kazi usiku na mchana ili kumaliza kazi kwa wakati

- Awataka kwenda kujifunza kwa Wilaya ya Ubungo, Kigamboni na Kinondoni

-Mkurugenzi wa Jiji akiri kupokea maagizo yote na kuyafanyia kazi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla leo tarehe 12 ameendelea na ziara yake ya kukagua Miradi ya Maendeleo katika Mkoa wa Dar es Salaam ambapo leo yupo Ilala

Akiwa Ilala ambapo ametembelea Kituo Cha Afya Cha Segerea na Kipunguni "B" Mkuu wa Mkoa ameonyesha kukasirishwa na kusuasua kwa Ujenzi wa Vituo hivyo vya Afya vya Segerea na Kipunguni "B" vilivyotokana na Fedha za Toza za Simu Shilingi Bilioni 2.5  alizozielekeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania *Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Mkoa wa Dar es  Salaam ili kutekeleza Ujenzi wa Vituo hivyo

RC Makalla ashangazwa na majibu ya Uchelewaji wa Vifaa kutoka kiwandani ndipo akahoji viwanda gani vilivyowachelewesha wao tu lakini Wilaya zingine wakapewa kwa wakati? Na Kama ilikuwa hivyo mbona hawakutafuta msaada zaidi?.

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa amewataka Madiwani husika kuwasimamia wananchi wao ipasavyo kwa kuhakikisha wanapata Vituo vya Afya kwa wakati

RC Makalla amewaagiza Ilala kufanya kazi usiku na mchana ili kumaliza kazi kwa wakati na ubora hitajika

Vilevile Mkuu wa Mkoa amewataka baada ya kumaliza ziara yake Ilala waende wakajifunze kwa Wilaya za Kinondoni, Ubungo, na Kigamboni ili wakachukue uzoefu kwa wenzao

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Bw. Jumanne Shauri akiri kupokea maagizo yote aliyopewa na kusema atayafanyia kazi

        #KAZI IENDELEE#

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa