• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla akabidhi zawadi za Sikukuu za Mwisho wa Mwaka 2022 kutoka kwa Rais wa JMT Mhe Dkt SSH katika Kituo cha UMRA Orphanages Center-Temeke

Posted on: December 22nd, 2022

 

RC Makalla akitoa salamu za Sikukuu za mwisho wa mwaka 2022 kutoka kwa Rais wa JMT Dkt SSH


- Asema Rais Dkt Samia anawapenda watoto wenye uhitaji amenituma niwape salamu za Sikukuu za mwisho wa mwaka 2022

-Amshukuru mmiliki wa kituo cha UMRA ORPHANAGE CENTER kwa kulea watoto wenye uhitaji

Akabidhi bidhaa mbalimbali za Sikukuu ikiwemo Mbuzi 2, Mafuta ya Kupikia, Mchele, Sukari, Juice na Maharage

Awatakia wakazi wa DSM heri ya Christmas na Mwaka mpya 2023 asema DSM ni Salama hakuna panya Road

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Amos Makalla leo amekabidhi zawadi za sikukuu za mwisho wa mwaka 2022 kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan katika kituo cha UMRA Orphanage Center - Temeke Jijini Dar es Salaam.

RC Makalla akiwa katika kituo hicho amesema Rais Dkt Samia anawapenda watoto wenye uhitaji amenituma nije kuwapa salamu za Sikukuu za christimas na mwaka mpya 2023 ikiwa ni upendo wake kwao kula Sikukuu pamoja nao.

Hata hivyo RC Makalla amemshukuru mwenye Kituo cha UMRA Orphanage Center Bi Rahma kwa moyo wa upendo wa kulea watoto hao wenye uhitaji.

Aidha RC Makalla amekabidhi zawadi mbalimbali katika kituo hicho ikiwemo Mbuzi 2, Mchele, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Maharage na Juice ambapo mlezi wa kituo na watoto kwa umoja wao wamemshukuru na kusema wanamuombea kwa Mungu ampe afya bora Rais Mhe Dkt Samia Suluhu aendelee kuongoza Taifa la Tanzania

Sambamba na hilo RC Makalla amewatakia wakazi wa DSM heri ya Christmas na Mwaka mpya washerekee kwa amani DSM ni Shwari na Salaama hakuna Panya Road tena

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa