• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Aeleza Kishindo Cha Rais Dkt Samia Suluhu Miaka 2 DSM

Posted on: March 10th, 2023

 

-Ataja mafanikio lukuki yaliyofanyika DSM katika nyanja mbalimbali

- Asema Rais Dkt Samia Suluhu ni kiongozi mahiri na shupavu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam CPA Amos Makalla leo Machi 8, 2023 ameeleza mafanikio ya Utekelezaji wa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu kwa Kipindi cha miaka miwili 2021/2022- 2022/2023

CPA Makalla ameeleza mafanikio hayo katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee na kuhudhuriwa na Viongozi wa Chama na Serikali, pia Wadau wa maendeleo katika Mkoa huo.

Akiongea mbele ya hadhara hiyo CPA Amos Makalla ametaja mafanikio lukuki yaliyofanyika katika kipindi cha miaka miwili ndani ya Mkoa huo akiangazia  katika nyanja mbalimbali kama Ulinzi na Usalama, Ukusanyaji wa mapato TRA na Halmashauri, Utoaji huduma za Afya, Elimu na Mafunzo, Utoaji huduma za maji, Nishati, Uwezeshaji wanawake kiuchumi, Kuwapanga vizuri wamachinga na uboreshaji wa miundombinu, kurasimisha bodaboda, Kampeni ya SAFISHA PENDEZESHA DSM, Bandari, Reli ya Kisasa, miradi ya DMDP, TARURA, Miundombinu ya mabasi yaendayo kasi DART na miradi ya Kimkakati ikiwemo Soko la karikaoo, Kisutu  Magomeni na Kituo cha mabasi Magufuli

Aidha *CPA Makalla* amefafanua miradi yote ya kisekta *imetekelezwa kwa ufanisi mkubwa* katika Kipindi cha miaka miwili toka Mhe Rais *Dkt Samia* aingie madarakani

Mwisho Mkoa wa DSM unampongeza *Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Uongozi wake mahiri na mafanikio makubwa* aliyoyaleta katika Mkoa na Taifa kwa Ujumla, jukumu la Serikali ya Mkoa ni kuendelea *kuimarisha Ulinzi na Usalama, Ukusanyaji wa mapato,matumizi sahihi ya rasilimali za Umma* na *Utekelezaji wa miradi ya maendeleo*, KAZI UENDELEE

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa