• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Makalla Aelekeza Machinjio ya Vingunguti Kukamilika Kabla ya Agosti 30 Mwaka Huu

Posted on: June 9th, 2022

 

- Achoshwa na "Danadana" za kila siku.

- Asema ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya Nchi zimefungua Fursa ya Biashara ya Nyama.

- Ataka Mkandarasi kusimamiwa kikamilifu.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kumsimamia kikamilifu Mkandarasi anaefanya Ujenzi wa  chumba Cha kuhifadhi Nyama (Cold room) na Mabucha ya Nyama kwa kuhakikisha kazi inafanyika usiku na mchana ili ifikapo August 30 Mwaka huu machinjioni iwe imekamilika.

RC Makalla ametoa maelekezo hayo alipofanya ziara kwenye machinjio hiyo ambayo Ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 15.4 na Sasa Mradi umefikia Asilimia 97.

Aidha RC Makalla amesema Ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya Nchi zimefungua Fursa ya Biashara ya Nyama hivyo ni lazima machinjio ikamilike kwa mustakabali wa Soko la Nyama nje ya Nchi.

Hata hivyo RC Makalla amewataka Wafanyabiashara wa Nyama kwenye machinjio hiyo kubadilika kwa kufuata utaratibu watakaopewa wa kufanya biashara kwenye Mabucha ambayo yanatarajiwa kukamilika Juni 15 mwaka huu.

Kwa mujibu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam machinjio imechelewa kuanza kutumika Kutokana na kutokamilika kwa Cold room, Mabucha ya Nyama, tank la maji, eneo la kuhifadhi mbolea, mageti na sehemu ya kuosha miguu

Matangazo

  • MWENENDO WA BEI YA 02-06 FEBRUARI 2026 DSM February 10, 2026
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025 December 01, 2025
  • MWENENDO WA BEI YA WIKI YA 26-30 JANUARI 2026 DSM February 09, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalimila Aendelea Kuchanja Mbuga Wilaya ya Kinondoni

    February 12, 2026
  • RC Chalamila Achukizwa na Kasi ndogo ya Utekelezaji wa Miradi ya BRT Kinondoni

    February 11, 2026
  • Uzinduzi wa Soko Jipya la Kariakoo

    February 08, 2026
  • RC Chalamila Ataka Walimu Kutafsiri Vema Maono ya Rais Samia

    February 06, 2026
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa