• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Viongozi wa Dini Chachu ya Maendeleo na Ustawi wa Jamii

Posted on: September 14th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Septemba 14, 2023 katika Ukumbi wa mikutano Yombo unaomilikiwa na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wakati wa Kongamano kubwa la dira ya  uamusho wa miaka 13 ya TAG kwa lengo la kuleta chachu au kuchochea Uinjilishaji, kuibua viongozi wa Dini na masuala ya miradi ya maendeleo inayogusa jamii, Kongamano ambalo limehudhuriwa na Viongozi wa mbalimbali Maaskofu na Wachungaji wa TAG,  Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani.

RC Chalamila amesema Viongozi wa Dini wanawajibu mkubwa katika kuleta maendeleo na ustawi wa Jamii kupitia kongamano hili lina bainisha dhana hiyo kwa sababu kazi moja wapo ya Uamusho ni Uinjilishaji kwa maana ya kueneza injili lakini vilevile kutafuta kilichopotea hivyo viongozi wa Dini wanaisaidia Serikali hususani watu walioshindikana, wanauwezo wa kubadili tabia ovu iliyoko kwa jamii hatimaye kuwa na jamii yenye maadili mema. " Lazima tuamini watu wanaopewa maono ambayo yana masilahi mapana ya watu " Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila ametoa rai kwa Viongozi wa Dini wote walioshiriki katika Kongamano hilo kutambua kuwa wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa wale wanao waongoza ambao ndio wafuasi wao, pia amewataka kwenda kujenga jamii yenye mawazo chanya hususani vijana kuhusu ajira amesistiza vijana lazima wajiamini na wajipambanue kutafuta fursa za kujipatia kipato mara wanapo maliza masomo na sio kusubiri kuajiriwa na Serikali.

Kwa upande wa Askofu Mkuu wa TAG Dkt Barnabas Mtokambali ametoa Shukrani kwa Mungu kwa kuwa na kiongozi wa Serikali Mhe Albert Chalamila katika Kongamano hilo ambaye ni mwakilishi wa Rais katika Mkoa wa Dar es Salaam ambapo amesema Dira ya Uamusho ya miaka 13 ya TAG ina mambo makuu 3 la kwanza Kueneza Injili, pili kuibua viongozi na tatu suala la miradi ya maendeleo kwa jamii kwa sababu uwezi kuwa na jamii iliyogubikwa na wimbi la umasikini hivyo Kongamano hilo lilianza rasmi jumatatu linatarajia kuhitimishwa ijumaa Sepamba 15, 2023 ambapo katika Kipindi chote cha Kongamano kusudio kubwa ni kukumbushana na kupeana chachu au kuchochea namna bora ya utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku kama viongozi wa kiroho.

Mwisho Baba Askofu Ametoa ombi maalum kwa Serikali kupitia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kujenga Ukumbi mkubwa wa Mikutano, pia mwaka ujao 2024 TAG inatimiza miaka 85 kilele cha Seherehe hizo kimependekezwa kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam, Vilevile kwa namna ya pekee amemkabidhi Mhe Albert Chalamila zawadi ya Biblia ambayo itamsaidia kumuomgoza katika utekelezaji wa majukumu yake ya kiutumishi wa Umma

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa