• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Vijana wa Machepe Wanaosafisha Mito kwa Kuzingatia Sheria na Kanuni za Utunzaji wa Mazingira Wapewe Kipaumbele

Posted on: October 2nd, 2023

 

RC Chalamila akifurahia jambo na vijana wa machepe katika mto ulioko eneo la mabwepande mapema leo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo mapema leo alipotembelea mto Mabwepande ambako amekutana na kikundi cha vijana maarufu kwa jina la Mshikamano Group  kinachojishughulisha na usafishaji wa mto pamoja na utunzaji wa mazingira, ikiwa ni muendelezo wa kutembelea maeneo yenye uwezekano wa kupata athari za mafuriko nyakati za  mvua ambapo Mkoa uko katika maandalizi ya kujiweka sawa kukabiliana na mvua nyingi za El-Nino ambazo kwa mujibu wa TMA wametabiri uwezekano wa kunyesha mvua hizo hivi karibuni

RC Chalamila amesema vijana ni kundi kubwa wamekua wakijifanyia Shughuli halali za kujipatia kipato na dhamira ya Mhe Rais Dkt Samia ni kuweka mazingira rafiki kwa vijana kujipatia kipato hivyo kama kuna fursa katika usafishaji wa mito makundi yote mawili ya wakandarasi na vijana wa machepe wapewe fursa sawa " Ndio maana nasema simuogopi mtu yeyote  ninamaana wala rushwa, wezi na wanao kandamiza maisha ya watu wa chini pia amewataka waandishi kutoposha habari kwa masilahi ya wala Rushwa'' Amesema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila ametembelea eneo la Basihaya Tegeta ambalo hupata athari za mafuriko mara kwa mara hasa nyakati za mvua amemuagiza Mkuu wa Wilaya Wilaya ya Kinondoni Mhe Saad Mtambule kuunda timu ya wataalam ambao watapita eneo hilo kuona njia asili za maji kama zitakua zimezibibwa ziwekwe sawa ili kuzinusuru kaya zinazopatwa na athari za mafuriko.

RC Chalamila akiwa na wananchi wa Basihaya Tegeta akikagua eneo linalopata athari za mafuriko nyakati za mvua

Vilevile Mhe Mkuu wa Mkoa ametembelea ujenzi wa Shule ya Sekondari Changanyikeni kuona maendeleo ya ujenzi huo na kumtaka mkandarasi kukamilisha ujenzi huo kwa wakati na kuzingatia thamani ya pesa.

Kwa upande wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Saad Mtambule amemuhakikishia mkuu wa Mkoa kuendelea kusimamia maagizo yake anayotoa na kutekeleza kwa wakati kwa masilahi mapana ya wana Kinondoni na Mkoa na Taifa kwa ujumla.

Mwisho Mhe RC Chalamila akiwa Mabwepande aliambatana na  wataalam mbalimbali kutoka NEMC, DAWASA, bonde na mratibu wa Kikosi kazi Mkoa Dkt Elizabeth Mshote, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Kamati ya Usalama ya Wilaya na wadau wengine wa Mazingira

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa