• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Uso kwa Uso na Wanafunzi wa DUCE

Posted on: June 6th, 2024

 

-Amshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa katika nyanja za elimu hapa nchini

-Awataka wanafunzi kutokata tamaa, wanayo nafasi kubwa ya kubadili maisha yao.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 6,2024 amefanya ziara katika chuo Kikuu kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) ikiwa ni muendelezo wa ziara zake katika vyuo vikuu vya Mkoa huo.

RC Chalamila akiwa katika Chuo hicho amepata wasaa wa kuongea na menejimenti ya chuo hicho na baadae kukutana na wanafunzi katika Ukumbi wa mikutano.

Akiongea na wanafunzi hao amewataka kuachana na utamaduni wa kulalamika, badala yake wawe mabalozi wazuri wa Serikali " Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amekuwa kinara wa uwekezaji mkubwa katika nyanja za elimu katika chuo hiki tayari ameshatoa pesa si chini ya Bilioni 19, kwa ajili ya kufanya maboresho ya miundombinu ya Chuo hicho" Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila amesema kwa upande wa mikopo ya vyuo vikuu Mhe Rais ameongeza fedha katika bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa ajiri ya kutanua wigo wa wanufaika wa mikopo, hivyo   wanafunzi watumie vizuri fursa hiyo.

Sanjari na hilo Mhe Albert Chalamila ameiagiza Bodi ya Mikopo Kuweka kambi katika chuo hicho ili kuwasaidia wanafunzi kufuata taratibu zote za kuomba mikopo bila kukosea ili unapokuja Wakati wa kutolewa mikopo pasiwe na malalamiko ya mwanafunzi kukosa mkopo kwa kutokana na kukosea wakati wa kujaza fomu za maombi.

Kwa upande wa Makamu Mkuu wa Chuo Prof Stephen Maluka Serikali ya Rais Dkt Samia tayari imeshatoa kiasi cha pesa sio chini ya  Bilioni 19 ambazo zinakwenda kujenga majengo mawili ya kisasa ya Ghorofa 5, viwanja vya kisasa vya michezo hususani kwa wenye uhitaji, sweeming pool, na ukarabati wa Hosteli pale Mbagala pamoja na Internet ambayo tayari imeshawekwa katika maktaba chuoni hapo hivyo Rais Dkt Samia anastahili pongezi kubwa sana

Mwisho Mhe Albert Chalamila aliambatana na wataalam na Viongozi mbalimbali kutoka Serikalini na chama wakiwemo  Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, wataalam kutoka NHIF, NACTVET,  TCU, NIDA pamoja na Bodi ya Mikopo

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa