• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Uhai wa Taifa Lolote Duniani ni Utamaduni

Posted on: January 26th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Januari 26, 2024 katika hafla ya Siku ya Utamaduni (Cultural Day) iliyoandaliwa na chuo cha Taifa cha ulinzi Tanzania ( National Defense College- Tanzania) Kunduchi Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam

Akiwa mgeni rasmi  kwa niaba ya Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro RC Chalamila amesema hakuna Taifa linaloweza kujidhihirisha mbele ya mataifa mengine Duniani kuwa ni Taifa hai kama halina Utamaduni " Niwaombe kila mmoja apende na ajivunia Utamaduni wake" Alisisitiza RC Chalamila

Aidha RC Chalamila amefurahishwa na Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania NDC ambacho kinatoa mafunzo kwa mataifa mbalimbali Duniani hususani nchi za Afrika kuweka katika kalenda ya kitaaluma siku ya Utamaduni ambapo mataifa mbalimbali hupata fursa ya kuonyesha tamaduni za nchi zao hivyo kudhihirisha uhai na umuhimu wa tamaduni pia kuibua fursa adhimu za kujifunza tamaduni za mataifa mengine.

Sambamba na hilo RC Chalamila alipata wasaa wa kujionea tamaduni za mataifa mbalimbali takribani 16 yakionesha tamaduni zao ikiwemo vyakula mbalimbali, mavazi  na mifumo mbalimbali ya starehe za mataifa hayo na kusisitiza lugha kama kigezo mojawapo cha Utamaduni kitumike katika Mawasiliano na Maarifa.

Kwa upande wa Mkuu wa NDC Meja Jenerali WA Ibuge amesema siku ya Utamaduni ni sehemu ya mafunzo kwa Taifa linalokuja kupata mafunzo ya Katika chuo hicho na ipo katika kalenda ya kitaaluma, hufanyika kila mwaka ambapo mwaka huu mataifa 16 ambayo ni Burundi, Botswana, Egypt, Ethiopia, India Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, Rwanda, Sierra Leone,South Africa, Uganda, Zambia,  Zimbabwe na mwenyeji Tanzania yameonesha tamaduni zao

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa