• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Tunakomesha Unyanyasaji na Usafirishaji wa Mabinti wa Kazi

Posted on: November 7th, 2023

 

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila leo Novemba 7, 2023 ameyasema hayo katika ufunguzi wa  Mkutano wa kimataifa juu ya utumwa na utumwa wa kisasa (mambo leo) katika historia ya kisasa ya Afrika uliofanyia katika Ukumbi wa chuo kikuu cha Dar es salaam.

Aidha RC Chalamila amesema hali ya biashara ya utumwa iliyopita bado mifumo yake ina athari kwenye maisha tuliyonayo sasa kiutamaduni, kisiasa na kiuchumi, hali inayokosesha uhuru kwa jamii husika.

Mhe. Chalamila alisema, "Bado kuna mabinti ambao si tu wanasafirishwa kwenda nje ya nchi bali husafirishwa kutoka mikoani kuja DSM na wakati fulani kufichwa kwenye baadhi ya nyumba na kufanyishwa kazi ambazo si sahihi, na kama mlivyoona sisi tumeanza na kampeni muhimu sana ya kuona suala hilo tunalikomesha katika mkoa wetu."

Vilevile RC aliongezea kwamba katika mkutano huo kutajadiliwa kwa upana zaidi na kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanyika na zinazoendelea kufanyika kutatolewa elimu kwa mbinu za kitaalum za kukomesha biashara hizo haramu zikiwemo na zile za kuwapeleka mabinti nchi nyingine za Afrika na hata nje ya  Afrika

Kwa upende wa Salvatory Nyanto ambaye ni Mhadhiri mwandamizi idara ya Historia naye alisema kupitia mkutano huo mkubwa wa kimataifa umeweza kuwavutia watafiti, wanafunzi, wanazuoni, wanaharakati kutoka nchini Urusi, Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za Afrika kujadili maisha baada ya utumwa na hali ya sasa na kutoa mapendekezo kwa tafiti zilizopo na namna gani yakukomesha kabisa

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa