• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Staki Kuona Malori yamepaki Service Road

Posted on: February 5th, 2024

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema hayo leo Januari 05, 2024 alipofanya ziara ya kukagua maeneo ya service Road Barabara ya Uhasibu-Kurasini Jijini humo.

RC Chalamila amesema kila mwenye ICD ni lazima awe na sehemu ya kupaki malori yake na sio vinginevyo "Service road ni kwa ajili ya matumizi ya Umma sio mwenye malori kupaki malori yake" Amesema Chalamila

Aidha RC Chalamila amesema kesho Februari    06, 2024 saa 2:00 Asbh atafanya kikao na wamiliki wote wa ICD, TANROAD na Jeshi la Polisi wanaohusika na Usalama barabarani kwa lengo la kufikia muafaka wa upakiji hovyo wa malori katika Jiji  "tutatoa muda service Road zote ziwe wazi hakuna malori kupaki tena" Alisisitiza RC Chalamila

Vilevile RC Chalamila alifika kurasini kwa lengo la kutatua Changamoto ya magari kuingia ofisi za  Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini ambapo ameuhakishia uongozi wa baraza hilo kutatua Changamoto hiyo mapema iwezekanavyo, hata hivyo tayari TANROAD wamewasilisha mpango wa muda mfupi wa kutatua Changamoto hiyo na mpango wa muda mrefu ukiendelea

Naye Mtaalaam kutoka TANROAD Clever Akilimali amesema Taasisi yao imeendelea kutoa elimu kwa umma juu ya matumizi sahihi ya "Service road" na imekuwa ikitenga maeneo kwa ajili ya kupaki malori kama vile kibanda cha mkaa na kibamba na maeneo mengine rai yake ni kila mmiliki wa Lori na wenye ICD kuacha kupaki malori kwenye service Road ili kutoa fursa kwa matumizi yaliyokusudiwa.


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa