• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Serikali Itaendelea Kuboresha Mazingira ya Wafanyabiashara DSM

Posted on: October 27th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo Oktoba 27,2023 katika mkutano wa Shirikisho la wenye viwanda (CTI) katika Ukumbi wa Hotel ya Four Point posta Ilala Jijini Dar es Salaam

RC Chalamila amesema Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amekua mstari wa mbele katika kuboresha mazingira ya wafanyabishara wakati wote amekua msikivu kusikiliza kero zao na kuzitatua ndio maana katika ziara zake nje ya nchi amekua akiambatana na wafanyabishara, wamiliki wa viwanda ili kutanua fursa za kibiashara ndani na nje. " Ni ukweli usiopingika unapoongelea suala la "Private and Public pertnership" Rais Dkt Samia ndio Champion namba moja " Alisema RC Chalamila

Aidha Mhe Chalamila ametoa nafasi kwa wafanyabishara kueleza kero na Changamoto mbalimbali, maoni na ushauri kwa lengo la kuboresha sekta hiyo, ambapo alitolea majibu Changamoto zilizoko ndani ya  uwezo wake na zile ambazo ziko nje ya uwezo ameahidi kupeleka mamlaka husika.

Sambamba na hilo RC Chalamila amesema lazima tuendelee kumshukuru Mhe Rais Dkt Samia na kuunga mkono juhudi zake katika sekta ya biashara hapa nchini amekua akiwekeza kwa kiasi kikubwa katika miundombinu ya barabara, reli, Anga katika historia ya nchi hii hatukuwai kuwa na ndege kubwa ya mizigo lakini saizi ipo, hiyo haitoshi anaendelea kuweka sera nzuri ya uwekezaji na kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ili ikidhi vigezo vya Kimataifa kwa masilahi mapana ya watu wengi

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa