• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

Posted on: June 13th, 2025

 

-Ataka wananchi wajitokeze kwa wingi hususani wale wenye changamoto za maswala ya kisheria.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es  Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amewataka wananchi wa Mkoa huo  kujitokeza kwa wingi kwenye kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid) inayotarajia kufanyika kuanzia juni 16 hadi juni 25, 2025. kwa lengo la kutatua changamoto mbalimbali za kisheria ikiwemo migogoro ya ardhi na masuala ya ukatili wa kijinsia.

Kampeni hiyo inafanywa kwa ushirikiano kati ya Ofisi ya  Mkoa wa Dar es salaam na Wizara ya Katiba na sheria kwa udhamini wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia na inafahamika kama Mama Mama Samia Legal Aid Campeign ambayo inatarajiwa kuzinduliwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa katika viwanja vya Maturubai Mbagala Wilaya ya Temeke jijini humo

Akizungumza jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa huo Mhe Albert Chalamila amesema lengo la kampeni hiyo ni kuwasaidia wananchi kushughulikia kero na changamoto za kisheria ili kuleta haki,usawa,amani na maendeleo hivyo amewataka wananchi wenye changamoto za kisheria kujitokeza

RC Chalamila amesema kuwa kampeni hiyo ya msaada wa sheria ya Mama Samia itazinduliwa juni 16,2025 kwenye uwanja wa maturubai Mbagala jijini humo na baada ya uzinduzi kampeni hiyo itakwenda kwenye wilaya zote za Mkoa huo.

Aidha RC Chalamila amesema ndani ya jiji hilo mbali na migogoro ya ardhi kumekuwa na matukio ya ukatili wa kijinsia hivyo kutakuwa na wataalamu wa sheria na madawati ya kijinsia ili lengo la Rais Dkt Samia kuendesha kampeni hiyo liweze kufanikiwa

Kwa upande wa Mkurugenzi wa huduma za kisheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Ester Msambazi amesema kuwa kampeni hiyo imeanza kutekelezwa mwaka 2023 na imefika kwenye mikoa mitano ya Zanziba na mikoa 25 ya Tanzania bara ikiwa tayari imefikia na kusaidia zaidi ya wanancni milioni 2

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Dar es Salaam Yadhihirisha Mafanikio Makubwa Miradi ya Maendeleo Kupitia Mwenge wa Uhuru 2025

    June 06, 2025
  • Wilaya ya Ilala Yafanya Vizuri Mwenge wa Uhuru 2025

    June 04, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa