• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Maisha ya Gardner ni Funzo

Posted on: April 22nd, 2024

 

-Asema wengi tumeguswa na msiba huo lakini pia ni funzo kwa jinsi ya kukaa vizuri na watu ukiwa hai.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 22,2024 ameungana na mamia ya wakazi wa Mkoa huo katika kuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji nguli wa Clouds FM marehemu Gardner Habash katika viwanja vya Leaders club Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila amesema marehemu alijipatia umaarufu kutokana na ucheshi wake pamoja na namna yake ya utangazaji.

Aidha RC Chalamila amesema wengi tumeguswa na msiba huo pia tumeachiwa funzo katika maisha yake akiwa hai namna ambavyo aliishi pamoja na kukaa vizuri na watu " msiba huu ni wetu sote na sisi viongozi wa Serikali tunaungana nanyi katika Kipindi hiki kigumu" Alisema RC Chalamila.

Sambamba na hilo RC Chalamila amesema mtangazaji huyo amewaliza wengi wakiwemo wasanii mbalimbali wa mziki, viongozi hata watu wa kawaida ndio maana tunaona umati wa watu katika viwanja hivi vya Leaders

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 July 17, 2025
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA WA DARASA LA SABA MEI, 2025 July 18, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWANAFUNZI ALIYEADHIBIWA-MAKUMBUSHO SEKONDARI September 23, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWANAFUNZI ALIYEADHIBIWA-MAKUMBUSHO SEKONDARI September 23, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila"Jotokezeni kwa Wingi Kupiga Kura Oktoba 29,2025, Dar ni Salama Sana"

    October 27, 2025
  • Dkt Samia Suluhu Hassan Kufanya Mikutano ya Kampeni Siku 3 Kuanzia Oktoba 21,2025

    October 20, 2025
  • RC Chalamila Arudisha Tabasamu kwa Mjane Bi Alice Haule.

    October 20, 2025
  • Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akutana na Makundi Maalum - DSM

    October 17, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa