• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Kula Sahani Moja na Vinara wa Biashara za Magendo

Posted on: September 16th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 16, 2023 ameonyesha kuto furahishwa na vinara wa biashara za magendo ambao hupitisha bidhaa mbalimbali katika Bandari bubu pasipo kulipa kodi ambapo amesema hali hiyo haivumiliki hawezi kuifumbia macho hata kidogo.

RC Chalamila amebainisha hayo baada kutembelea na kukagua kipenyo mama cha Magendo eneo la Kunduchi na Bandari ndogo ya Mbweni Wilaya ya Kinondoni.

Mhe Chalamila amesema kuendelea kuacha mianya hiyo ya magendo ni kuikosesha kodi Serikali, kuhatarisha Afya za wananchi kutokana na kutumia bidhaa ambazo hazija thibitishwa usalama wake na mamlaka husika ikiwemo TBS vilevile ni hatari kwa usalama wa Taifa " Ivi karibuni wako watu walipata itilafu ya kiafya kutokana na matumizi ya mafuta ya magendo siwezi vumilia hali hiyo" amesema RC Chalamila

Vilevile RC Chalamila ametoa siku mbili kwa wachuuzi wa eneo la fukwe ya kunduchi kujitafakari kwa sababu haiwezekani bidhaa hizo zinapita hapo alafu wasijue ambapo amewataka kufanya biashara halali Mhe Rais Dkt Samia Suluhu amewekeza nguvu kubwa kutengeneza nchi hivyo wananchi ni lazima waungunge mkono juhudi hizo kwa kukataa magendo kwa masilahi mapana ya Mkoa na Taifa.

Aidha Mhe Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Saad Mtambule amekiri kuwepo kwa Changamoto hiyo na amekuwa akipambana kwa kushirikiana na Mamlaka huisika TRA TBS, na Bandari pamoja na vyombo vya dora lakini namna pekee ni kuendelea na kuongeza nguvu katika ulinzi na kufanya Doria katika mianya hiyo hakuna kinachoshindikana inawezekana kinachotakiwa ni kutimiza wajibu wa kila mmoja wetu

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa