• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila: DSM Kufanya Kampeni Kubwa ya Kupima Afya Bila Malipo

Posted on: July 5th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 5, 2023 ametangaza Kampeni kubwa ya siku 10 ya upimaji Afya bila malipo kwa wakazi wa Wilaya zote 5 za Mkoa huo.

Akiongea na Waandishi wa Habari RC Chalamila amesema Uzinduzi rasmi wa Kampeni hiyo kimkoa utafanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala katika Manispaa ya Temeke siku ya jumatatu Julai 10, 2023 na baada ya hapo upimaji wa Afya utaendelea katika kila Wilaya zote za Mkoa huo na Kampeni itaendelea hadi Julai 19,2023

Aidha Mhe Chalamila amesema Kampeni hii kubwa itahusisha Hospitali ya Taifa Muhimbili, Taasisi ya Saratani Ocean Road, Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Hospitali za Mkoa na watoa huduma kutoka Halmashauri na Hospital kubwa zinazomilikiwa na Taasisi binafsi na wadau wengine wa Afya.

Wakazi wa DSM watapata fursa ya kupima Afya zao hasa magonjwa yasiyoambukiza amabayo yamekua yakiwaathiri Watanzania wengi pia wakazi watahamasishwa kujenga utamaduni wa kupima Afya zao wale watakao bainika na matatizo ya kiafya watapatiwa huduma za Rufaa.

Vilevile RC Chalamila amesema huduma zitakazo tolewa ni kuanzia ngazi ya Huduma ya Afya ya msingi, kibingwa, na kibobezi katika nyanja za Uchunguzi wa Saratani mbalimbali, Magonjwa ya Moyo  shinikizo la damu na huduma ya uchangiaji damu kwa hiari, chanjo dhidi ya Uviko 19, chanjo ya watoto chini ya miaka 5.

Kwa Upande wa Manga Mkuu wa Mkoa Dkt Rashid Mfaume ametoa ratiba ya zoezi hilo katika Halmashauri ambapo *Manispaa ya Temeke Julai 10 na 11, 2023 Viwanja vya Zakhiem Mbagala, Manispaa ya Kigamboni 12 na 13, 2023 Viwanja vya Mjimwema, Manispaa ya Ubungo Julai14 na 15 2023 Viwanja vya Barafu  Manispaa ya Kinondoni Julai 16 na17 Tanganyika Peckers Kawe na kuhitimisha Jiji la Dar es Salaam Julai 18 na 19 katika Viwanja vya Mnazimmoja

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa