• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila, Dkt Molel Wahamasisha Kuchangia Uboreshaji Huduma ya Mama na Mtoto Hospitali ya Amana

Posted on: August 17th, 2024

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila, Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Molel leo Agosti 17, 2024 wameshiriki matembezi ya kuhamasisha kuchangia ujenzi wa wodi ya mama na mtoto pamoja na ukarabati wa majengo ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila akiongea baada ya matembezi hayo ambayo yalianzia fukwe za Coco hadi viwanja vya Karimjee amesema Rais Dkt Samia amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Afya katika nyanja za vifaa tiba, majengo na wataalam hivyo Mkoa kwa kutambua juhudi za Mhe Rais umeamua kuunga Mkono kwa kuhamasisha jamii hususani marafiki wa Amana kuchangia ujenzi wa wodi ya mama na mtoto na ukarabati wa majengo mengine ya kutoa huduma katika Hospitali hiyo, ambapo zaidi ya Bilioni 3 zinahitajika.

Aidha kwa upande wa Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Molel ambaye alikuwa mgeni rasmi amesema Rais Dkt Samia Suluhu kutokana na uwekezaji wake katika sekta ya Afya amefanikiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa vifo vya mama na mtoto hivyo amepongeza hatua inayofanywa na Mkoa kupitia Hospitali ya Amana ambapo amewahakikishia wizara iko pamoja nao kuhakikisha wanafikia malengo waliyojiwekea.

Sanjari na hilo Mganga Mkuu wa Hospitali ya Amana Dkt Bryceson  Kiwelu amesema kihistoria hospitali hiyo ni ya miaka mingi hadi sasa ina takribani miaka 70 ni hospitali pekee ndani ya Wilaya ya Ilala inayohudumia idadi kubwa ya watoto ndiyo maana wamekuja na wazo la kujenga wodi ya kisasa na kufanya ukarabati wa baadhi ya majengo ili kuwezesha huduma bora ya mama na mtoto hiyo matembezi hayo ni moja ya sehemu ya kuhamasisha uchangiaji wa fedha ambazo zitawezesha utekelezaji wa mradi huo ambao unatija kubwa kwa jamii

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa