• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Azitaka Halmashauri za Mkoa Kufanya Kazi kwa Karibu na Ofisi ya CAG

Posted on: June 26th, 2024

 

-Asema Ofisi ya CAG na Wakurugenzi wasikimbiane -Asisitiza umuhimu wa kuwa mahiri katika kuzuia hoja na sio kujibu hoja 

-Apongeza Manispaa ya Ubungo na Kinondoni kwa kupata Hati safi 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 26,2024 akiwa katika muendelezo wa kushiriki mabaraza ya Hoja za Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali CAG kwa nyakati tofauti katika Manispaa ya Ubungo na Kinondoni amezitaka Halmashauri hizo kufanya kazi kwa karibu na ofisi ya CAG ili kuondokana na hoja zisizo za lazima 

RC Chalamila amesema wakurugenzi wa Halmashauri na ofisi ya CAG wasikimbiane ni vema kufanya kazi kwa karibu ili kuondokana na hoja zisizo za lazima pia kuzingatia ushauri unaotolewa na wakaguzi wa ndani 

Aidha RC Chalamila amewataka wakuu wa Idara na vitengo kutoa ushirikiano kwa karibu wakati timu ya GAG inapotekeleza majukumu yake katika Halmashauri husika. Kwa upande wa Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila akiongea wakati anamkaribisha Mkuu wa Mkoa amemhakikishia Mkuu wa Mkoa kuendelea kusimamia maagizo yake ambapo amezitaka Halmashauri kujikita katika umahiri wa kuzuia hoja za CAG na Sio umahiri wa kujibu hoja 

Sanjari na hilo RC Chalamila amezitaka Halmashauri kusimamia vema ukusanyaji wa mapato na kubuni vyanzo vingine vipya pia kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato pamoja na hilo ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa kupata Hati safi miaka mitano mfululizo na Manispaa ya Kinondoni kwa kupata Hati safi miaka mitatu mfululizo Mwisho RC Chalamila amezitaka Halmashauri hizo kuhakikisha hoja zote zilizobaki zinafutwa pamoja na kufanyia kazi maagizo yote ya LAAC

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa