• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM

Posted on: January 27th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila Januari 27,2024 amezindua wiki ya sheria katika Mkoa huo iliyopambwa na maandamano kutoka mahakama ya kisutu hadi viwanja vya Mnazimmoja

RC Chalamila akiongea wakati wa ufunguzi wa wiki ya sheria ametoa rai kwa wakazi wa Mkoa huo kutembelea mabanda ya maonesho ya wiki ya sheria ili kupata elimu na ushauri wa kisheria na kutoa mapendekezo yatakayo saidia kuongeza umakini na ubora katika mhimili wa utoaji haki.

Aidha maadhimisho hayo ya wiki ya sheria yaliyobeba kauli mbiu " Umuhimu wa Dhana ya Haki kwa Ustawi wa Taifa: nafasi ya Mahakama na Wadau katika Kuboresha mfumo Jumuishi wa Haki Jinai"  ambapo RC Chalamila amesema kauli mbiu hiyo inagusa maeneo yote muhimu  ikiwemo umuhimu wa kushirikisha wadau katika myororo mzima wa utoaji haki.

Vilevile RC Chalamila amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa katika mhimili huo muhimu wa utoaji haki uwekezaji huo unajidhihirisha katokana na matumizi ya teknolojia ya TEHAMA na uteuzi wa majaji ambao amekuwa akiufanya hususani majaji  Wanawake hivyo kurahisisha utendaji wa Shughuli za Mahakama.

Naye Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Mhe Salma Maghimbi amesema wiki ya sheria ni kiashiria cha kuanza kwa shughuli za sheria kwa mwaka mpya 2024 hivyo wiki hii ya sheria inatoa fursa kwa wananchi kuja kujifunza majukumu ya mahakama hapa nchini vilevile kupata elimu na ushauri wa kisheria kupitia mabanda ya maonesho yaliyoko katika viwanja hivi hadi Kilele cha siku ya Sheria Februari 1, 2024 hivyo niendelee kutoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika viwanja vya Mnazimmoja

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa