• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

Posted on: May 20th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila akabidhi magari mapya mawili kwa ajili ya katibu Tawala wa Mkoa huo na Mkuu wa wilaya ya Ilala ambapo amewataka kutumia magari hayo katika kutoa huduma kwa wananchi ili kutatua changamoto zao huku akisisitiza suala la kuhamasisha wananchi kuendelea kuhuisha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025

Akizungumza leo Mei 20,2025 Jijini Dar es salaam RC Chalamila amesema magari hayo yametolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ikiwa ni mkakati wa kuendana na Dira ya maendeleo ya Taifa hivyo amewataka viongozi wote waliokabidhiwa magari kufanya kazi ya kuwatumikia watanzania kwa uadilifu ili kubadili hali zao za maisha na kutatua changamoto zao

Aidha RC Chalamila pamoja na kumshukiru Rais Dkt Samia kwa kuendelea kuwezesha upatikanaji wa magari Mkoani humo pia amemshukuru kwa kuidhinisha fedha kiasi kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa katika mwaka huu wa fedha kutokana na uhitaji Mkubwa wa ofisi hiyo ambayo kwa sasa iko pamoja na ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ilala

Vilevile RC Chalamila ametumia nafasi hiyo kuwakumbusha viongozi na wananchi wa Mkoa huo kutambua kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi hivyo ni muhimu kuendelea kuhuisha taarifa zao ili kuweza kushiriki uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba mwaka huu ambapo amewataka viongozi kuendelea kuhamasisha wananchi kuhuisha taarifa zao kwa siku zilozobakia

Kwa upande wa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bwana Laurance Malangwa amemhakikishia Mkuu wa Mkoa kuwa magari hayo yatakwenda kutumika kwa kuzingatia taratibu za kisheria za serikali ili yaweze kudumu na kuhudumu kwa muda mrefu huku Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Edward Mpogolo akiahidi kuwahudumia kwa karibu   wananchi ili kutatua kero zao na kuwakumbusha suala la kuhuisha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi mkuu mwaka huu

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa