• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Awataka Viongozi wa Wilaya na Halmashauri Kusimamia Miradi ya Maendeleo

Posted on: June 1st, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila ameyasema hayo leo Juni 1, 2023 wakati amekutana na Viongozi na watumishi wa Wilaya ya Kigamboni na Temeke kwa nyakati tofauti ikiwa ni muendelezo wa Kujitambulisha toka apangiwe kuhudumu katika Mkoa huo.Akiongea na watumishi hao amewataka viongozi wa wilaya na Halmashauri kusimamia kwa weledi na kuzingatia thamani ya fedha wakati wa utekelezaji wa miradi ya  maendeleo na kuhakikisha wanafuata sheria, kanuni na taratibu za manunuzi ya Umma.  

Aidha RC Chalamila katika kikao hicho ametoa rai kwa  Wah. Madiwani kuwa mstari wa mbele katika usimamizi wa miradi huku akiwataka kuhamasisha wananchi kushiriki katika shughuli za kujiletea maendeleo katika nyanja mbalimbali.


Sambamba na hilo Mhe Chalamila ametoa rai kwa viongozi Idara ya Elimu kuja na mpango mkakati utakaosaidia kuinua elimu ndani ya wilaya hizo huku akilenga kuongeza mapato kwani uwezekano wa kufanya hivyo upo ikiwa tu wataamua kuwa wabunifu.
Akizungumzia suala la ukusanyaji wa mapato Mhe Mkuu wa Mkoa amesema kumekua na ukusanyaji usioridhisha hasa wa ushuru wa huduma ( Service Levy) hivyo ameelekeza watendaji kujipanga vizuri ili kusaidia katika ukusanyaji wa kodi hiyo. 

Pia RC Chalamila akiwa Temeke alipata wasaa wa kukutana na Wazee wa Wilaya hiyo ambapo Wazee walionyesha kufurahishwa namna Mhe Chalamila anavyotekeleza majukumu yake siku chache toka alipo hamishiwa na Mhe Rais kuhudumu katika Mkoa huo

 

Matangazo

  • MWENENDO WA BEI YA 02-06 FEBRUARI 2026 DSM February 10, 2026
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • MWENENDO WA BEI WIKI YA 1-5 DESEMBA 2025 December 01, 2025
  • MWENENDO WA BEI YA WIKI YA 26-30 JANUARI 2026 DSM February 09, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalimila Aendelea Kuchanja Mbuga Wilaya ya Kinondoni

    February 12, 2026
  • RC Chalamila Achukizwa na Kasi ndogo ya Utekelezaji wa Miradi ya BRT Kinondoni

    February 11, 2026
  • Uzinduzi wa Soko Jipya la Kariakoo

    February 08, 2026
  • RC Chalamila Ataka Walimu Kutafsiri Vema Maono ya Rais Samia

    February 06, 2026
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa