• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Avunja Uongozi wa Soko la Ndizi-Mabibo

Posted on: August 17th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila, leo Agosti 17,2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kuagiza  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kufanya uchunguzi  wa kina katika soko hilo na watakao bainika hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao.

RC Chalamila ametoa alipofika katika soko hilo kutatua mgogoro baina ya wafanyabishara biashara wasiowaaminifu wakiongozwa na Uongozi wa Soko hilo na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

Aidha RC Chalamila amekemea  watu wachache, wabinafsi,   katika soko hilo kukwamisha jitihada za serikali na kamwe wasijaribu hata kidogo masoko lazima yaboreshwe Serikali ikusanye mapato yake na wafanyabishara wafanye biashara zao sehemu rafiki.

"Hatuwezi kuacha watu wachache wanajinufaishe na Serikali inakosa mapato, Mkurugenzi wa Manispaa anza kazi leo," Alisema Chalamila

Hata hivyo RC Chalamila amebainisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan dhamira yake ni kuboresha masoko tayari kiasi cha milioni 600 kimetengwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwa ajili ya kuanza kazi ya kuboresha Soko hilo.

Vilevile Mkuu wa Mkoa amesema uongozi uliokuwepo ulikuwa ukikusanya fedha nyingi lakini zilikuwa zikiishia katika matumbo ya watu wachache badala ya kuwanufaisha walio wengi hili halikubaliki.

Kwa Upande wa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Hashim Komba ameweka bayana Changamoto zilizoko katika Soko hilo na kuonyesha dhamira ya Wilaya yake kutaka maboresho ya Soko hilo muhimu kwa masilahi mapana ya Umma ambapo amesema ni kweli mmiliki halali wa soko hilo ni Urafiki wameshaketi na kukubaliana Soko hilo kuendeshwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo hivyo tayari Manispaa imeshatenga shilingi millioni 600 ili kuanza Ukarabati wa Soko hilo

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa