• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atoa Sadaka Maalum kwa Wanawake Waislam -DSM

Posted on: March 23rd, 2025

 

-Zaidi ya wanawake 600 katika wilaya zote tano za Mkoa wapatiwa sadaka ya IFTAR

-Awaomba kuendelea kuomba Dua kwa ajili ya Mkoa na Taifa kwa ujumla.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Machi 23,2025 ametoa Sadaka ya IFTAR  kwa wanawake waisilam wa Mkoa huo zaidi ya 600 katika msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

RC Chalamila ametoa Sadaka ya  bidhaa mbalimbali kwa ajili ya IFTAR  kama vile Mchele, mafuta ya kupikia, sukari, tende, Sembe na unga wa ngano kupitia kwa Mufti Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi Bin Ally ambaye amepokea Sadaka hiyo na kuigawa kwa wanawake waislam wenye uhitaji wa Mkoa huo.

Aidha RC Chalamila akiongea wakati anatoa Sadaka kwa wanawake hao  ametoa rai kuendelea kuomba Dua kwa ajili ya Mkoa na Taifa kwa ujumla  vilevile tumuombee kiongozi wetu Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt Samia Suluhu Hassan. Pia  " leo natoa Sadaka kwa kundi hili lakini ndani ya siku mbili zijazo nitafuturisha wana Dar es Salaam katika mazingira ambayo ni ya kawaida hivyo tutakualika tena Mufti Mkuu" . Alisema RC Chalamila

Kwa upande wa Mufti Mkuu  wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi Bin Ally ameshukuru Mhe Albert Chalamila kwa upendo aliuonyesha kwa wanawake hao ambapo amesema neno pekee analoweza kusema ni Kumshukuru na Kumpongeza.

Naye Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Saad Mtambule na Mstahiki Meya wa Kinondoni Bwana Songoro Mnyonge kwa nyakati tofauti wamemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa Sadaka hiyo na wametoa rai kwa wananchi kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura zoezi ambalo linatarajiwa kuhitimishwa leo Machi 23,2025 kwa mujibu wa ratiba ya INEC

Mwisho " Na toeni katika vile tulivyokupeni kabla ya kufika mauti kwa mmoja wenu,  akasema: Mola wangu Mlezi! Laiti ungenichelewesha muda mchache basi ningetoa sadaka na ningekuwa miongoni mwa wema." (Qura'an 63:10)

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Dkt Hussein Ally Mwinyi Aweka Jiwe la Msingi Barabara ya Kiibada, Mwasonga-Kimbiji

    April 25, 2025
  • RC Chalamila Dar ni Salama Aeleza Mafaniko na Mipango ya Maendeleo ya Mkoa

    April 18, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa