• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atoa Mkono wa Sikukuu kwa Viongozi CCM-DSM

Posted on: December 21st, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Desemba 21, 2023 ametoa mkono wa Sikukuu kwa viongozi CCM kuanzia ngazi ya Mkoa, Wilaya,Kata na Mitaa wakati wa mkutano maalum wa viongozi hao ambao uliongozwa na mwenyekiti wa CCM Mkoa huo Mhe Abbas Mtevu katika Ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni.

RC Chalamila akiongea na viongozi hao ametumia nafasi hiyo kujitambulisha rasmi katika chama hicho ikiwa ni mara ya kwanza kukutana na viongozi hao kwa wingi toka apangiwe na Mhe Rais kuhudumu katika Mkoa huo

RC Chalamila amesema toka aanze kuhudumu katika Mkoa huo amepata na anaendelea kupata heshima kubwa na kuungwa mkono sana na CCM " Nimekuja Dar kwa kuhamishiwa nikitoka Mkoa wa Kagera nipende kutumia fursa hii kumshukuru sana Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuniamini" Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila amesema kila mwanachama wa CCM ni vizuri kuneneana vema kwa masilahi mapana ya chama, lazima tuwe imara katika kukabiliana na chokochoko hususani nyakati hizi za kuelekea kwenye uchaguzi."Nitasimama imara usiku na mchana na CCM imani yangu katika Siasa ni CCM, sitamuonea mtu aliyoko nje ya CCM" Alisisitiza Chalamila.

Vilevile ametoa rai kuendelea kumuunga mkono mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt Samia Suluhu Hassan na kila mmoja kuwa mshauri mzuri wa Amani pia kutoa elimu ya umuhimu wa uchaguzi kwa kuhakikisha chama kinateua watu wazuri wanaopendwa na watu wengi katika maeneo yao.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Chama Mkoa Mhe Abbas Mtevu Akifungua Mkutano huo amewataka viongozi katika maeneo yao kujipanga na ushindi wa kishindo katika mitaa yote na sio kwa goli la mkono, "Kata ikipoteza mtaa sitakuwa pamoja na kiongozi husika uliomba nafasi mwenyewe ya uongozi kafanye kazi", pia amewataka Wakuu wa Wilaya kuweka mzingira wezeshi ya kiuchumi kwa  watu kwa kufanya matamasha yanayoibua fursa kwa watu kama ilivyofanyika kwa Wilaya ya Kigamboni

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa