• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atembelea Kiwanda cha SUMA JKT Skyzon

Posted on: November 12th, 2024

 

-Awataka Wakurugenzi, Wakuu wa Wilaya na wadau wengine ndani na nje ya Mkoa kutumia bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amewataka viongozi Mkoani humo ikiwemo wakuu wa wilaya,wakurugenzi wa halmashauri na wakandarasi kutoka TARURA na TANROAD kutumia kiwanda cha taa cha SUMA JKT ili kupata taa bora zitakazowekwa katika jiji hilo na kuwezesha  watu kufanya kazi usiku na mchana

RC Chalamila ameyasema hayo leo Novemba 12,2024  alipotembelea kiwanda cha taa kinachomilikiwa na SUMA JKT kilichopo Mlalakua Wilaya ya  kinondoni ambapo pamoja na kuridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na jeshi hilo la kujenga Taifa ameagiza kiwanda hicho kitumike kama suluhisho la upatikanaji wa taa bora jijini humo.

Aidha RC Chalamila amewataka viongozi wa Mkoa huo kutumia kiwanda hicho kupata taa bora za kuweka maeneo mbalimbali ikiwemo barabarani na kwenye masoko kuwezesha biashara zifanyike usiku na mchana huku pia akitaka maabara ya kiwanda hicho kutumika kufanya majaribio ya taa zinazoingizwa kutoka nje ya nchi

Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT Brigedia Jenerali Petro Ngata amesema kiwanda hicho kinchojulikana jina la SUMA JKT SKYZON kinatengeneza taa za LED zinazotumia umeme na mfumo wa Solar na kwamba kwa ukanda wa Africa Mashariki hicho ni kiwanda cha kwanza kinachotengeneza taa bora na kinatarajia kuzinduliwa hivi karibuni hivyo amewataka wadau kutumia kiwanda high kupata taa

Mwisho RC Chalamila ametoa rai kwa watumishi wanaofanya kazi katika kiwanda hicho kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuwa na uaminifu aidha kiwanda hicho kwa sasa kimesha anza uzalishaji na kinatarajiwa kufunguliwa raasmi hivi karibuni.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa