• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atangaza Uuzaji Viwanja Mabwepande- Kinondoni

Posted on: February 8th, 2025

 -Asema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274.

-Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei.

Kufuatia maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kutaka waliovamia na kujenga kwenye eneo linalomilikiwa na shirika la maendeleo Dar es Salaam (DDC) lililopo Mabwepande kuuziwa viwanja kwa gharama nafuu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila kwa kushirikiana na shirika hilo pamoja na Halmashauri ya Manispaa ya kinondoni ametangaza rasmi kuanza  kuuza viwanja katika eneo hilo

Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 8, 2025 eneo la Mabwepande akiwa ameambatana Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Toba Nguvila, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, viongozi wa DDC pamoja na wataalamu wa ardhi kutoka Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni RC Chalamila amesema eneo hilo lenye viwanja zaidi ya 2274 vyenye ukubwa tofauti tofauti ambavyo baadhi vilivamiwa na vingine havijavamiwa viaanza kuuzwa rasmi.

Aidha RC Chalamila amesema kuwa viwanja hivyo vianze kuuzwa mara moja kuanzia wiki ijayo ambapo wananchi waliovamia kwa miaka mingi na wapo kwenye eneo hilo watauziwa kwa gharama ya shilingi elfu tatu kwa mita ya mraba wakati wengine watakaohitaji viwanja watauziwa kwa shilingi 15,000,17,000 na 20,000  kwa mita ya mraba kulingana na matumizi yake kama makazi biashara au matumizi mengine

Vilevile RC Chalamila amewaeleza wananchi wa eneo hilo na ambao watanunua viwanja kuwa Rais Dkt Samia ameshapeleka huduma muhimu za kijamii kwenye eneo hilo ikiwemo umeme na maji na kwamba barabara ipo kwenye mpango wa ujenzi wa kiwango cha lami kupitia TANROAD

Kwa upande wa Afisa mipango miji Manispaa ya Kinondoni Arkadius Haule amewahakikishia wananchi kuwa viwanja hivyo vyote vimepimwa na vitauzwa kwa kuzingatia uhitaji wa mnunuzi huku Ali Mirambo Meneja Mkuu wa DDC akiwahakikishia wananchi kuwa eneo hilo ni mali ya shirika hilo hivyo wanauziwa na mmiliki halisi

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa