• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atangaza Kampeni ya Upimaji Afya Bila Malipo

Posted on: June 14th, 2024

-Asema kampeni hiyo ni ya siku 10 itaanza Juni 20-30,2024 

-Abainisha kampeni hiyo inatarajia kuwafikia wananchi zaidi ya elfu kumi 

-Atoa rai kwa wakazi wa DSM kujitokeza kwa wingi kupima afya zao 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 14, 2024 ametangaza kampeni kabambe ya kupima afya bila malipo katika Mkoa huo ambayo inatarajiwa kuanza Juni 20-30,2024 katika wilaya zote za Mkoa huo kwa siku mbilimbili kila wilaya ambapo amesema kampeni hiyo inaratibiwa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa Kushirikiana na Afya Check 

RC Chalamila ameyasema hayo ofisini kwake Ilala boma mbele ya waandishi wa Habari ambapo amebainisha lengo la kampeni hiyo ni kuhamasisha jamii kujenga utamaduni wa kupima afya vilevile kuunga mkono juhudi za Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambazo anazifanya katika sekta ya afya ikiwemo uboreshaji wa miundombinu ya Afya, kusomesha wataalam wa Sekta ya Afya na hata kutoa kibali cha kuajiri wataalam wa Afya 

Aidha RC Chalamila amesema kupitia kampeni hiyo magonjwa mbalimbali yatapimwa ikiwemo magonjwa yasiyoambuliza na wataalam wa Afya wabobevu watapiga kambi kila wilaya kwa siku mbili mwaka huu uzinduzi wa Afya Check utafanyika Wilaya ya Ubungo katika uwanja wa barafu Juni 20,2024 

Sanjari na hilo RC Chalamila ametoa wito kwa wadau ikiwemo mabenk kujitokeza kuunga mkono juhudi hizo za Serikali kwa masilahi mapana ya Jamii, pia amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupima Afya zao. Ifahamike kuwa kila wilaya katika mkoa itakuwa na eneo maalum ambapo timu ya wataalam wa Afya Check kwa uratibu wa Mkoa itaweka kambi ya siku mbili kama ifuatavyo Wilaya ya Ubungo-Viwanja vya barafu, Kinondoni- VIwanja vya Biafra, Ilala-Viwanja vya Mnazi Mmoja, Temeke- VIwanja vya Zakhiem na Kigamboni viwanja vya Mjimwema

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa