• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Atangaza Eneo la Muhimbili-Pemba Mnazi Kuwa Chini ya Serikali

Posted on: May 17th, 2024

 

-Amtaka Naibu kamishna wa Ardhi Mkoa kuanza utaratibu wa kupima mara moja.

-Aagiza waliofoji nyaraka wachukuliwe hatua Kali za kisheria

-Awataka wenyeviti na Watendaji wa kata na mitaa kutokuwa sehemu ya migogoro.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametangaza rasmi eneo la Muhimbili-Pemba Mnazi Wilaya ya Kigamboni kuwa chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia leo Mei 17, 2024.

RC Chalamila ameyasema hayo leo Mei 17,2024 akiwa katika eneo hilo ambapo alisema " tumepitia nyaraka zote tumejiridhisha hakuna mwenye umiliki halali wa eneo hilo" Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila  amesema wale wote waliofoji nyaraka kwa kujifanya ndio wamiliki wa eneo hilo hatua kali zichukuliwe, vilevile amemtaka Naibu kamishna kuanza utaratibu wa kupima maeneo hayo na Wananchi wenye uhitaji wa Ardhi watafuata taratibu za kuomba kununua maeneo hayo pia ameelekeza Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Wananchi kusimamia ulinzi na usalama wakati wate wa zoezi hilo

Pia amewataka wenyeviti na Watendaji kutokuwa sehemu ya migogoro katika maeneo yao badala yake waiwakilishe Serikali vizuri " Unakuta Mwananchi ananunua kipande cha Ardhi mwenyekiti au mtendaji anathibitisha kuwa hakina mgogoro baada ya siku chache anamuambia kina mgogoro wakati tayari ameshatoa pesa acheni hiyo tabia" Alisema RC Chalamila

Kwa upande wa  mwenyekiti wa Kamati ya uchunguzi kutoka Ofisi ya Naibu kamishna wa Ardhi Mkoa Bwana Costa Chaula amesema baada ya uchunguzi waliweza kubaini watu sita tofauti ambao walijifanya kuwa ni wamiliki lakini baada ya kufutilia nyaraka zao zimeonekana kuwa na mapungufu kiasi cha kushindwa kuthibitisha uhalali wao kumiliki eneo hilo.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa