• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Ataka Viongozi Waadilifu Soko la Makumbusho

Posted on: August 16th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameutaka uongozi wa Manispaa ya Kinondoni kusimamia vema mchakato wa upatikanaji wa Viongozi waadilifu wa soko hilo ili kukabiliana na kasoro zilizoko hivi sasa.

RC Chalamila amesema hayo leo Agosti 16, 2023 alipo zuru katika Soko hilo kukagua miundombinu na kuongea na wafanyabishara wa Soko hilo

Mhe Mkuu wa Mkoa amebaini kasoro mbalimbali ikiwemo Usalama hafifu wa Soko, Upangishaji holela ambapo wako baadhi ya watu wasiowaaminifu hupangisha meza kwa bei ya juu inayokizana na bei halisi ya Serikali pia uwepo wa miundombinu chakavu ndani ya Soko.

Hata hivyo RC Chalamila amekemea uwepo wa madalali katika Soko ambao  hupandisha bei za Upangishaji wa fremu  na meza, kuepuka rushwa, pia kuimarisha ulinzi shirikishi, na usafi wa Soko pamoja na Viongozi wa mwanzo kutogombea tena nafasi za uongozi katika Soko hilo wapishe Viongozi  wapya.

Aidha RC Chalamila ameagiza TAKUKURU  kuwakamata wale wote wanaohusika na uuzaji wa meza kwa bei ya juu wahojiwe wakikutwa na hatia wapelekwe mahakamani, pia  amewahakikishia wafanyabishara hao kuzimaliza Changamoto zote katika Soko hilo kwa Kipindi kifupi.

Kwa upande wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Saad Mtambule amesema soko hilo lina wafanyabishara takribani 883 dhamira ya Manispaa ni kuboresha Soko hilo, kupata uongozi imara wenye kutetea masilahi ya wafanyabishara ndio maana tuliamua kuvunja uongozi wa mwanzo na sasa tuko katika Kipindi cha mpito kupata uongozi mpya wa Soko

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ukatili Kinara Migogoro inayohitaji Msaada wa Kisheria-Waziri Mkuu

    June 16, 2025
  • Wananchi Dar Kunufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

    June 14, 2025
  • RC Chalamila, Samia Legal Aid Kuzinduliwa Juni 16, 2025 DSM

    June 13, 2025
  • Wataalam Kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Wakutana na Kamati ya Usalama ya Mkoa-DSM

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa