• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Ataka DART Kufanya Kazi Saa 24

Posted on: June 27th, 2023

-Amshukuru Dkt Samia kwa kuendelea kuboresha miundo mbinu ya Barabara za mwendo kasi katika Jiji la DSM

- Aitaka DART kuendelea kuboresha huduma zaidi za usafiri kwa jamii

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Juni 27 wakati akizindua huduma ya usafiri wa magari yaendayo kasi kuelekea Kipindi cha maonesho ya Sabasaba 2023.

RC Chalamila ametumia usafiri wa gari la Mwendokasi kuanzia Gerezani karikaoo hadi mbagala Rangi tatu- Temeke ikiwa ni ishara ya Uzinduzi huo.

Aidha Mhe Chalamila amesema haoni sababu ya Mwendokasi DSM kutokufanya kazi masaa 24, ni dhamira yake kuona mabasi hayo yakifanya kazi masaa 24 ili kupanua wigo wa kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa.

Ndio maana Serikali iko mbioni *Kuimarisha ulinzi kwa kuweka mifumo Stahiki ya Usalama ikiwemo taa na CCTV camera* ili hata baadhi ya maeneo yenye masoko kama karikaoo huduma zitolewe masaa 24.

RC Chalamila amemshukuru Dkt Samia kwa kuendelea kutoa fedha nyingi ili kuboresha miundo mbinu ya Mwendokasi katika Mkoa huo na kuwataka DART kuwa wabunifu na kuboresha huduma za usafirishaji katika jiji hilo ikiwemo kero ya sasa ya abiria kukaa kwenye kituo kwa muda mrefu.

Hata hivyo Mwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa DART Ndg Deusdelity Casmir Mkurugenzi wa Fedha amesema kwa Kipindi chote cha maonesho ya Sabasaba kwa kushirikiana na TANTRADE tayari wanayo mabasi takribani 30 kwa kuanzia mabasi 20 yataanza kuhudumia wananchi hivyo wananchi wote wanakaribishwa

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa