• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aridhia na Mapendekezo ya Ugawaji wa Baadhi ya Kata na Mitaa Kigamboni

Posted on: November 29th, 2023

 

- Asema mchakato wa Jambo hilo umefuata taratibu zote hitajika

- Imedhihirika kuwa Kigamboni kwa sasa Kuna idadi kubwa ya watu

- Asema hii itasaidia kupanua Maeneo ya Kiutawala

- Wajumbe wote wa Kikao hicho wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni wafurahia kuungwa mkono kwa hoja hiyo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Novemba 29, 2023 ameridhia ombi la kugawa maeneo ya Kiutawala katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kama yalivyowasilishwa

Mhe. Chalamila amesema mchakato huo umefuata hatua zote stahiki ikiwa ni pamoja na kutembelea maeneo husika na kutembelea wananchi na viongozi Kisha kufanya mahojiano nao

Hata hivyo, RC Chalamila  Amepokea maoni mbalimbali ya Wajumbe hao ambapo kwa Umoja wao wamedhihirisha kuwa Kigamboni kwa sasa Ina ongezeko kubwa la watu wanaohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi yetu

Vile vile Mhe.Mkuu wa Mkoa amesema utekelezaji wa Jambo hili  utasaidia kupanua Maeneo ya kiutawala ya Kigamboni ambapo wananchi watapunguziwa umbali wa kwenda kupata huduma mbalimbali

-Kwa upande wa Wajumbe wote wa kikao hicho wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya wamefurahishwa na kupitishwa kwa mapendekezo ya kugawa baadhi ya kata na mitaa ya Kigamboni

Ikumbukwe kuwa  Halmashauri hiyo kutokana na ukubwa wake na uhamiaji wa watu halmashauri hiyo imeona ni vema kuongeza idada ya kata kutoka 9 hadi kata 14 na Mitaa  67 hadi 77 ikiwa ni ongezeko la Kata 5 na Mitaa 10


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa