• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Aridhishwa na Kiwango Cha Uzalishaji Maji Safi DSM, Ataka Kasi ya Usambazaji.

Posted on: September 22nd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 22, 2023 katika muendelezo wa ziara yake Wilaya ya Kigamboni kukagua ufanisi wa uzalishaji wa maji Safi katika Mkoa huo, jukumu linalotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

Ameridhishwa na kiwango cha uzalishaji maji katika Mkoa ambapo takribani lita milioni 590 zina zalishwa kwa siku wakati mahitaji halisi ni lita Milioni 540 " Kwa takwimu hizo tunaziada ya maji ninachokitaka sasa ni kazi kubwa ya Usambazaji wa maji kwa jamii tena uanze mara moja kwa mitaa 11 ya wakazi wa kisarawe II na kwingineko katika Mkoa huu" Amesema RC Chalamila

Matarajio makubwa ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni kuona maji yana mfikia kila mtu katika nyumba yake na sio kuwa na tenki kubwa la maji karibu lakini watu au jamii haina maji hiyo sio Sawa ni lazima katika utumishi wa umma kila mtu atekeleze wajibu wake

Aidha Mhe Chalamila akiwa Kigamboni amejionea mtambo wa kusukuma maji vilevile ametembelea tenki kubwa lenye uwezo wa kuhifadhi maji safi lita milioni 15.

Kwa upande wa Kaimu Mtendaji Mkuu wa DAWASA Ndg Kiula M Kingu amemhakikishia Mkuu wa Mkoa Usambazaji wa Maji kwa kasi kubwa na tayari eneo la Kisarawe II zoezi lilishaanza hivi wananchi wawe na mategemeo makubwa ya kupata maji safi na salama.

Mwisho ziara hiyo ya *Mhe Albert Chalamila* aliambatana na Viongozi waandamizi wa chama cha CCM Mkoa, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Kamati ya usalama na wataalam kutoka Sekretarieti ya Mkoa na DAWASA

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Rais wa Finland Alexander Stubb Atembelea Machinga Complex - DSM

    May 16, 2025
  • RAS Nguvila Atoa Maagizo 14 kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam

    May 16, 2025
  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa