• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Apongeza Halmashauri ya Jiji kwa Hati safi Miaka 8 Mfululizo

Posted on: June 25th, 2024

 

-Awataka kuzingatia maagizo na maelekezo ya ofisi ya CAG

-Apongeza kwa kufunga  hoja 62% ataka kumalizia  kufunga hoja 38% zilizobaki

-Afurahishwa na mwenendo wa ukusanyaji kodi kwa Halmashauri ya jiji  ambapo hadi sasa ukusanyaji ni zaidi ya 108%

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 25,2024 ameshiriki mkutano wa baraza la madiwani la Jiji la hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali (CAG) za mwaka 2022/2023.katika ukumbi wa Arnatoglo Mnazimmoja.

RC Chalamila akiongea katika baraza hilo ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kuwa na historia ya kupata hati safi kwa kipindi cha miaka 8 mfululizo ambapo amewataka kuendeleza utamaduni huo na namna pekee ya kuendeleza utamaduni huo ni kuzingatia maagizo na maelekezo ya CAG pamoja na kuzingatia ushauri unatolewa na wakaguzi wa ndani (Inernal Auditors)

Aidha RC Chalamila amepongeza umahiri wa Halmashauri ya Jiji katika ufungaji wa hoja za CAG ambapo takribani 62% ya hoja zimefungwa hivyo amewataka kuhakikisha wanamalizia kufunga hoja chache zilizobakia.

Sambamba na hilo RC Chalamila ameridhishwa na kufurahishwa na kasi ya ukusanyaji kodi katika jiji hilo ambapo hadi sasa makusanyo yako zaidi ya 108% rai yake kwa Halmashauri hiyo kujipanga zaidi kubuni na kusimamia vema vyanzo vya mapato lakini pia kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kama vile vituo vya kisasa vya Afya na masoko kwa kutumia fedha za ndani.

Vilevile baraza hilo lilihudhuriwa na Katibu Tawala wa Mkoa  huo Dkt Toba Nguvila, viongozi wa chama,wataalam kutoka ofisi ya mkoa na wataalam wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

Mwisho Mstahiki Meya wa Jiji hilo Mhe Omary Kumbilamoto amemshukuru Mhe mkuu wa Mkoa kwa nasaa zake na kuahidi kwa niaba ya waheshimiwa madiwani kufanyia kazi maagizo yake kwa masilahi mapana ya wana Ilala, Mkoa na Taifa kwa Ujumla

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiwasili NIDC-Kijitonyama

    May 15, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Charles Hilary

    May 13, 2025
  • Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa yakagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Temeke

    May 07, 2025
  • RC Chalamila Aongoza Maadhimisho ya Mei-Mosi Dar es Salaam.

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa