• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Apokea Msaada Wenye Thamani ya Milioni 137 Ocean Road

Posted on: November 19th, 2023

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 19, 2023 amepokea msaada wa vifaa tiba vya thamani ya Milioni 137 kutoka katika Familia ya GSM vifaa tiba ambavyo vimeelekezwa katika Taasisi ya ocean road Jijini Dar es Salaam.

Siku hiyo ya leo imekuwa muhimu na maalum kwa familia ya mmiliki wa GSM Bwana Gharib Mohamed ndio siku aliyo zaliwa ambapo ameitumia siku hiyo kama Kumbukizi ya kuzaliwa kwake kutoa msaada wa vifaa tiba katika Taasisi ya ocean road

Akipokea msaada huo RC Chalamila amesema kwa hatua aliyofikia Bwana Gharib Mohamed anachohitaji sasa ni Mungu na Afya njema, "mwezetu GSM ameona ni busara wakati wa Kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa afanye jambo jema kwa wenye uhitaji hususani wagonjwa wa cancer katika Taasisi ya ocean road, cha kujiuliza Je? wewe unapofanya Kumbukizi ya kuzaliwa unafanya nini kwa wenye uhitaji" Alisema Chalamila

Aidha RC Chalamila ametoa rai kwa matajiri wote katika Mkoa wa Dar es Salaam kumheshimisha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuunga mkono juhudi mbalimbali za kuleta maendeleo Katika Jamii. " Dkt samia Suluhu Hassan amekuwa akiwekeza sana katika sekta ya Afya kwa kutambua umuhimu wake hata hivyo tayari ameshaidhinisha ununuzi wa mashine ya kisasa katika Taasisi ya ocean road ambayo muda si mrefu itaanza kutoa huduma" alisisitiza Mhe Chalamila

Kwa upande wa Dkt Julius Mwaisilage wa Ocean road amesema msaada wa vifaa tiba hivyo umekuja muda muafaka kutokana na uhitaji mkubwa wa vifaa hivyo katika Taasisi ya Ocean road hivyo amemuhakikishia Mkuu wa Mkoa kuvisimamia vizuri vifaa hivyo ili viweze kutoa huduma katika hali ya ubora kwa Kipindi kirefu

Mwisho RC Chalamila amesema Fedha hupotea lakini matendo hudumu alichokifanya Bwana Gharib Mohamed na familia yake kitaendelea kudumu aidha ifahamike kuwa GSM ndiye mdhamini mkubwa wa timu ya mpira Young African lakini hajaishia kwenye michezo tu ameendelea kuunga mkono katika sekta ya Afya hapa nchini.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Mchengerwa: Maafisa Habari Hakikisheni Wanachi Wanapata Habari Sahihi

    May 23, 2025
  • RC Chalamila Akabidhi Magari Mapya Mawili (2)-DSM

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa