• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Apokea Msaada wa Vifaa Tiba Toka Shirika la DKT International

Posted on: October 4th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Oktoba 4, 2023 amepokea vifaa tiba toka Shirika la DKT international ambavyo amevielekeza katika Wilaya ya Kigamboni na Ubungo Jijini Dar es Salaam.

Akipokea msaada huo wa vifaa tiba RC Chalamila amelishukuru  Shirika hilo kwa kuunga mkono juhudi za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuboresha sekta ya Afya hapa nchini, mchango uliotolewa ni wa thamani kubwa, ametoa rai kwa wadau wengine wa Afya katika Mkoa kuiga mfano na kuunga mkono juhudi za Serikali katika katika Mkoa. "Rais Dkt Samia Suluhu amekua akitoa pesa nyingi na anaendelea kutoa katika kuboresha sekta ya Afya, ujenzi wa vituo vya Afya, zahanati na Hospitali unaendelea kujengwa kila kona hivyo kuunga mkono juhudi hizi ni kumpa nguvu aendelee kupambana zaidi kwa masilahi mapana ya Watanzania" Alisema RC Chalamila

Aidha RC Chalamila amewataka Wilaya ya Ubungo na Kigamboni kuhakikisha wanatunza vifaa tiba walivyopatiwa ili viweze kutumika kwa muda mrefu

Kwa upande wa Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt Rashid Mfaume ameanisha vifaa tiba vilivyotolewa na Shirika la DKT International ikiwemo vitanda kwa ajili ya operesheni, makabati, na viti mwendo pia amewaomba kuendeleza ushirikiano na Mkoa katika kutekeleza afua mbalimbali za kukabiliana na magonjwa ya ngono, uzazi wa mpango na UKIMWI

Mwisho ifahamike kuwa DKT International ni shirika lisilo la Kiserikali ambalo linajishughulisha zaidi na upangaji uzazi, kuzuia VVU/UKIMWI na uzuiaji mimba kwa njia salama

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa