• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Mkoa  wa Dar es Salaam

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Muundo wa Kiutawala
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Management,Monitoring and Inspection
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Industry, Trade and Investiment
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Government Communication Unit
  • Wilaya
    • Ilala
    • Kinondoni
    • Temeke
    • Ubungo
    • Kigamboni
  • Halmashauri
    • Jiji
    • Kinondoni MC
    • Temeke MC
    • Ubungo MC
    • Kigamboni MC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Muongozo wa Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Taarifa Mbalimbali
    • Fomu ya Ahadi ya Uadilifu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Bofya hapa
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio

RC Chalamila Apokea Msaada wa Diapers za Watoto

Posted on: March 22nd, 2024

 

-Aishukuru Kampuni ya Doweicare na kuiomba kuendelea kuisaidia  Hospital ya Muhimbili katika maeneo mengine yenye uhitaji

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Machi 22,2024 amepokea msaada wa diapers kutoka Kampuni ya Doweicare na kukabidhi msaada huo wenye thamani ya zaidi ya milioni 35 katika Hospitali ya Taifa  Muhimbili

Akipokea msaada huo wa diapers aina ya soft care ambazo zinazalishwa na Kampuni ya Doweicare ameishuru Kampuni hiyo kwa kugusa maisha ya watoto ambao wanajifungua katika hospital hiyo ambapo ameiomba Kampuni hiyo kuendelea kuisaidia hospitali hiyo ya Taifa katika maeneo mengine ili kuunga mkono Juhudi za Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan katika Kuboresha Sekta ya Afya hapa nchini.

Aidha RC Chalamila ametoa rai kwa makampuni na wadau wengine kutoa misaada katika sekta mbalimbali zinazogusa jamii moja kwa moja kwa masilahi mapana ya ustawi wa jamii.

Kwa upande Zari ambaye ni balozi wa bidhaa hiyo ya softcare amesema yeye ni mwanamke hivyo amekuwa akiguswa sana kuona baadhi ya wazazi wakijifungua na kutokana na ugumu wa maisha kukosa baadhi ya huduma muhimu hivyo ameiomba Kampuni hiyo ambayo amekuwa akifanya nayo kazi kwa muda mrefu kuwasaidia

Mwisho msaada huo umekabidhiwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi akiwa na wataalam wengine wa hospitali hiyo.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) MKOA WA DARASA LA SABA - 2024 July 05, 2024
  • KARIBU MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE HARRIS KAMALA March 29, 2023
  • KARIBU MWENGE WA UHURU 2023 May 24, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Mock Mkoa Darasa la Saba - 2020 September 02, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Temeke Yang'ara Mwenge wa Uhuru 2025

    June 02, 2025
  • RC Chalamila: Miradi 36 yenye Thamani ya Tsh 79,255,160,719.44 Kupitiwa na Mwenge wa Uhuru Dar

    June 01, 2025
  • RC Chalamila Ataka Machinga Kariakoo Kufungua Njia

    May 28, 2025
  • CHALAMILA SERIKALI INATAMBUA NA KUTHAMINI KAZI YA UUGUZI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

RC Chalamila Azindua Wiki ya Sheria DSM
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
  • Wilaya ya Ilala
  • Wilaya ya Kinondoni
  • Wilaya ya Temeke
  • Wilaya ya Ubungo
  • Wilaya ya Kigamboni

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Ofis ya Rais-Utumishi
  • Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Anuani ya Posta: S.L.P. 5429

    Simu ya mezani: +255 22 2203158

    Simu ya mkononi: +255 22 2203156

    Barua pepe: ras@dsm.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,haki zote zimehifadhiwa